Fastjet nauli siku hizi ni juu mno

kokojuju

Member
Nov 27, 2014
14
0
Jamani wanajamvi wenzangu,

Nauli za fastjet sasa hivi ni ghali mno tofauti na ilivyoanza.

Leo nafanya booking ya kesho Mbeya naambiwa laki nne na upuuzi wakati mwaka juz ilikuwa bei ndogo mno.

Mtatuua Fastjet.
 

charty

JF-Expert Member
Oct 28, 2013
7,413
2,000
Uwe unafanya booking mapema utapata tiketi za gharama nafuu..wacha kulalamikaa
 

multmandalin

JF-Expert Member
Sep 8, 2012
2,031
2,000
Fast jet haihusiki na safari za dharula, ulitakiwa uwaambie unaenda Mbeya miezi mitatu kabla! Halo ungelipia buku tu!
 

farajakwangu

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
1,946
2,000
Sh imeshuka dollar iko palepale kama dollar iimepanda ilitakiwa kupanda kwa dunia nzima sio TZ tu
 

Abunwasi

JF-Expert Member
Jun 25, 2009
5,489
2,000
Jamani wana jamvi wenzangu nauli za fastjet saiv ni ghali mno tofauti na ilivoanza.

Leo nafanya booking ya kesho mbeya naambiwa laki nne na upuuzi.
Wakati mwaka juz ilikuwa bei ndogo mno.

Mtatuuwa Fastjet.
Ukitaka kufahamu unafuu wa bei za fastjet jaribu kununua ticket wiki 2 au zaidi kabla ya safari
 

charty

JF-Expert Member
Oct 28, 2013
7,413
2,000
Hivi nikifanya booking online natakiwa kulipa baada ya muda gani

inategemeana na mda uliobook hiyo tiket kama umebook mwez mmoja mbele wanakupa kama siku tano za kulipa..kwa wiki kadhaa wanakupa siku mbil au tatu hivii
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom