Fastjet nauli siku hizi ni juu mno

Mkuu mbona Fastjet walitangaza siku moja ya offer kwa safari za ndani ya nchi kwa dollar 40 one way?,Nafahamu kuwa ilitangazwa kwamba mauzo yangefanyika tarehe 12/06/2015 kuanzia saa 18;00 mpaka 19;00Hrs na ilikuwa ni kwa safari hadi september.Sikuwa na safari lakini niliiona.Fastjet wanatangaza promotions zao hata humu humu JF,uwe makini kufuatilia utagundua uzuri wa kampuni hiyo,Ila ukitaka kusafiri leo hii hii lazima ulipe malaki mpaka utashangaa.Naona wanatufanya tuwe na mipango ya muda mrefu.
 
Nauli za fastjet zinategemeana na abiria. Unaweza kata tiketi muda hu huo ukalipa 199000 na unaweza kata week mbili kabla ukalipa 425000. Nilisafiri kwenda Mbeya kwa 199000 baada ya siku mbili sku ya j3 nikalipa 423000. Ni kawaida
 
Hivi ni makampuni yote huwa ni kama hii fastjet watu 140 mfano kila mtu anapanda kwa bei yake? Nisaidieni
 
Back
Top Bottom