Sikutegemea lakini ndio imetokea, Nifanyeje?

Sikutegemea lakini ndio imetokea, Nifanyeje?

Huyu nyang'au vipi? ningemjua ningempa za kichina mpuuzi sana huyu anafikiri kila mahali ni pa kuandika upuuz wake toi

ww nyàng'au wach kelele za kina isha,mwanaume nimekufuat utulize mshono
 
hujasoma mitindo na lugha ambayo mwandish hutumia mf mixn lang,lugha ya mtaani hyo inaruhusiwa mfn kasom the beautiful one are nt yet born,watt wa mama ntilie, nk
kawaida xn hii ktk uwanja wa fasihi

Hata kama ipo katika vitabu vya fasihi, bado kipebgela cha matumizi ya lugha (language use(s) lazima uanishe matumizi mabaya na mazuri ya lugha. Hayo yote ni 9 na 10 inamaana hadithi uliyoiandika hapo ni kazi ya fasihi? Au kwa lugha nyepesi ni hadithi ya kubuni si ndiyo? Sasa mbona hujaanza na neno Riwaya: alafu ukafuata na blabla zenyewe?!!
 
literature is a product of its own environment!
after ol literàture doesnt exist in vacuum( ngugi wa thioñgo)
 
kumbe kaz ya fasihi lazma iwe riwaya? haw walimu wa kata kwel shida
matumiz ya lugha ww msomaj ndo kaz yako kuchambua kipengel cha lugha,so kaz ya mwandish tena!!!
ndo walimu wenzen km nyàngwine wanawatolea uhakiki
kaz yang n kufikisha ujumbe kw jamii haijalish lugha niliyotumia
mf seif khatib aliandka shair la " mchi" matuc open,hat layman anang'amua hilo
 
Ok kweli unajua kutunga, nadhani udsm sikuhizi inatoa wasomi bora kabisa,utawakatisha tamaa watu weye nia njema ya kusoma chuo hiki kwa kuamini kuwa chuo kinatoa product kama yako hii unakidharirisha chuo kabisa. Mm nadhani unapotunga vijihadithi au vijitamthilia kama hivi usihusishe taasisi za kiacademic tena taasisi kubwa kama UDSM sidhani kama kuna course inayoyatoa mafunzo hayo.
 
literature is a product of its own environment!
after ol literàture doesnt exist in vacuum( ngugi wa thioñgo)

Hata kama mkuu, utunzi wa aina hii si vizuri kuihusisha taasisi kubwa za kitaaluma, na hakukuwa na ulazima wa kutumia, kwasababu matukio yote yametokea nyumbani. Na utumizi wa chuo cha UDSM nikama kuidharisha taasisi hiyo. Bora angetumia neno chuo bila kutaja jina la taasisi hiyo.
 
Ok kweli unajua kutunga, nadhani udsm sikuhizi inatoa wasomi bora kabisa,utawakatisha tamaa watu weye nia njema ya kusoma chuo hiki kwa kuamini kuwa chuo kinatoa product kama yako hii unakidharirisha chuo kabisa. Mm nadhani unapotunga vijihadithi au vijitamthilia kama hivi usihusishe taasisi za kiacademic tena taasisi kubwa kama UDSM sidhani kama kuna course inayoyatoa mafunzo hayo.

mbona unakazana nimetungà,hayo ndo yàliyotokea likizo hii wakat ñiko hom,aftr ol ckulazimish kuamin
n udsm n sehem ninayosoma ñ haina mahusiaño na ñilichoañdika
 
Mimi nasikitika kwa nini huyo jamaa mpaka sasa hajakufumania naomba mungu siku uingie katika anga zake na akugegede hiyo 0712( kabang) Ili uje kutuletea mlejesho vizuri nini kinachoendelea
 
Hata kama mkuu, utunzi wa aina hii si vizuri kuihusisha taasisi kubwa za kitaaluma, na hakukuwa na ulazima wa kutumia, kwasababu matukio yote yametokea nyumbani. Na utumizi wa chuo cha UDSM nikama kuidharisha taasisi hiyo. Bora angetumia neno chuo bila kutaja jina la taasisi hiyo.

nilichokiandika hakina uhusiano na udsm,utakuwa na matatzo ktk uelewa
na ulitaka niandike theories hapa
wach kukariri,huu n upande wa pili wa maishà ukiàch màsual ya academic,mambo yanayotokea mtaan,na mm ndo part n parcel wa hayo mambo sina budi kuyawakilisha
ila ww layman umekazan kuihusisha udsm na kilichotokea
shame mwlm wa kata
 
Mmmmmmhhhhh have fun bhaaana wapte hiv wenye roho za kutu...!aaagghh chuma huliwa na kutu cha mtu huliwa na mtu
 
nilichokiandika hakina uhusiano na udsm,utakuwa na matatzo ktk uelewa
na ulitaka niandike theories hapa
wach kukariri,huu n upande wa pili wa maishà ukiàch màsual ya academic,mambo yanayotokea mtaan,na mm ndo part n parcel wa hayo mambo sina budi kuyawakilisha
ila ww layman umekazan kuihusisha udsm na kilichotokea
shame mwlm wa kata

Poa kichwa mtwasa!!
 
Wajaman huyu mburukenge mnaangaika nae wa nn mtaumiza vichwa vyenu bure mlala wapngaji wa nymba ya babake
 
Si muda mrefu tokea tufunge chuo kwa kumaliza semester ya kwanza,natoka zangu hostel narejea kitaa kupunguza uchovu wa kudesa.

Ile kufika home kuna mpangaji mpya kahamia,kumcheki mzuri na uzuri depend on ur own perception.Jioni nimetoka zangu maskani nimekaa home kibarazani,yule demu akapita naona kama anatingisha tako flan hivi,kwel Mungu kamjalia Mashallah.

Akageuka nyuma akakutana na mimi namkodolea macho,nikajisemea moyoni kumbe alikuwa anatafuta attention!

Mdada huyo karudi kutoka dukani akanikuta pale pale,akaniongelesha...

Yeye; Mbona umekaa nje peke yako?
Mimi: Sio mbaya kama tutakuja kukaaa wote unipe kampani,anarushà macho kutazama kama kuna mtu karibu,
Yeye; mmhhhh,mimi sema naogopa,
Mim: Unaogopa nn tena??, si watu jamani!!Kuna kitu alitaka kuniambia,kuna mpangaji akatokea,yule dada/dem huyo akajiondokea zake
mim nikaapa lazima nchukue tarakimu zake nifanye yangu.

Kesho yake titfotat nakutana nae anatoka kuoga,nikaomba # àkanipa bt yà voda,nikaifikiria kumpigia nikasema anyway ntamtext,maana voda yenyewe niliivunja hostel walivyoleta masuala yao ya mb8.

Usiku wakati wa kulala nikamtixt,akarespond fresh.

Asubuhi kama kawa goodmorning za kutosha;

Mim: Za asubuhi uko poa?... Hajanijib,nikasema khaaaaaa!!!!
Mim: Vipi umelala?.. ikapita kimya fulani hivi akajibu
Yeye; nimelàla sijikii poa!
Mim: nini tatzo tena?
Yeye: nàsikia kuumwa,kichwa na mwili mzima
Mim:umekunywa dawa???
Yeye: bado
Mim: pole sana jirani
Yeye: asante
Mim: naweza kuja kukuona???
Yeye: ntakwambia nikiamka
Mim: bas sawa

Ikapita kimya kama saa moja na nusu,nikaona text inaingia,kucheki jina jirani kama nilivyomsave nilivyochukua # zake
Yeye: uko wap?
Mim: niko ndani

Nikawa nawaza akiniambie niend na nikimkuta kakaa kihasarahasara namkazia mpaka anipe mzigo

Yeye: kuna kitu nataka uje unirekebishie
Mim: poa

Kuingia ndani nakuta mdada kajiachia kwenye sofa kapiga kanga nyepesi huku katupia sidiria,titi naliona lile limedisa
nikawa nawaza,jamaa yako vipi nikamwambie mchizi wako yuko wap?

Yeye; Anakaa sana,huamini ngoja nimpigie simu uone ,jàmaa akajibu now ndo najiandaa kuvuka boda
Yeye: akaniambia umesikia?
Mimi: kidogo ndio umenitoa uoga

Tukaendelea kucheki muvi pale nikaona kikanga kinapeperushwa na upepo paja jeupeeeeeeee!!!abdala kichwa wazi akasimama.

Nilikuwa nachat simu nikaiweka pembeni,nikamshika mkono nikaanza kuchezea kucha zake ndefu mara romance,piga utundu mwingine mpaka kwa bibi nikajilia vyangu.

Baadae xx amri ya sita ishàvunjwa ,eti unajua mimi mke wa mtu?

Mimi: nikamwambia najua
Yeye: je bwana wañgu akijua,
Mim: hawez kujua labda uwe umetaka kumwambia,kuz mimi,sikupigii simu mpaka unipigie,sikutext mpaka unitext,na txt zenyewe unafuta,xx hapo atajuaje?

Yeye: ok

XX tatzo now ananionea wivu hataree juzi kati demu wangu katoka Mzumbe chuo karudi likizo nimemtia home yule demu kaniona ananinunià kishenzi,et oohhh unanidharau unaniletea wanachuo wako.

Eti nimfanye nini huyu mdada wakati mimi sikupanga kuwa nae na ukizingatia yuko na mchizi wake?

Nimeapa,sipige tena wake za watu kuz ving'ang'anizi kama ruba!!!!

Nawasilisha.
Bora tuongezeke tunaokoma kula wake za watu ili waume zao wapumzike nao
 
Mmmh! Kijana, Umeweka Thrd Hii Kujibizana Na Watu? Au Kutaka Ushaur? Kijana Level Ya Maneno Yako Jtahd Iwe Level Moja Na Elimu Yako, Pleaz Stop Majib Yako,
 
Back
Top Bottom