Recent content by Kofianyeupe

  1. Kofianyeupe

    JamiiForums Tanzania Njama za Yanga kuharibu mechi za Simba

    Hawa ndio maana waliitea mambwa
  2. Kofianyeupe

    JamiiForums Tanzania Cement gani nzuri kwa kufyatulia matofali?

    Tunasoma namba
  3. Kofianyeupe

    JamiiForums Tanzania Mahakama yazuia ombi la kampuni ya NSK kuifilisi Dangote Cement

    Acheni ujinga. Bado mnawasingizia CHADEMA wakati bunge lote ni la kijani.
  4. Kofianyeupe

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais: Ili kukuza uchumi wa nchi na kupata fedha za ujenzi wa miundombinu, Mishahara ya watumishi wa umma na viongozi wa kisiasa ipunguzwe

    Wivu tuu. Ulikimbia mwenyewe shule. Wenzako walikomaa sasa wanaishi maisha mazuri kuliko ya kwako. Roho mbayaaaa.
  5. Kofianyeupe

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya New Habari yasitisha uchapishaji wa Magazeti yake kufuatia mwenendo mbaya wa biashara

    Kwa hiyo TSN Wanaandika UTOPOLO acha kwanza waisome namba.
  6. Kofianyeupe

    JamiiForums Tanzania Ukweli lazima usemwe: Wa kwanza kuvunja Katiba ya nchi ni CHADEMA

    Acheji ujuha. Tunasubiri maendeleo. Hao wabunge wa upinzani 19 kwanza ni hasara kwa taifa. Tumieni bajeti ya kuwalipa hao wabunge maendeleo si hayana vyama. Mbona mnalazimisha.
  7. Kofianyeupe

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na Lissu wakutanishwe

    Kwani nini mlishindwa kumzuia asikimbie na mmemshitaki kwa makosa ya uchochezi.
  8. Kofianyeupe

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba wanatuona sisi wanachama wa Simba ni Mabwege ?

    Halafu wewe utopolo. Unawashwawashwa sana.
  9. Kofianyeupe

    JamiiForums Tanzania Baada ya Uchaguzi Wakurugenzi wangebadilishwa vituo vyao vya kazi

    Wanachoma nyumba zao moto ili wajengewe mpya. Waache upuuzi kabisa. Tena ni zamu yao kutulia.
  10. Kofianyeupe

    JamiiForums Tanzania Mbwa wanaosemwa na Gwajima ni akina nani?

    Wameona jina la mabeberu ni dogo, sasa wameamua kuwaita mbwa.
  11. Kofianyeupe

    JamiiForums Tanzania Wanyonge wenzangu, bei ya Saruji huko kwenu ipo vipi?

    Kwani unafikiri wana mapenzi mema na wananchi? Hawa wapo kwa ajili ya matumbo yao tu.
  12. Kofianyeupe

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dar es Salaam: Watu watatu zaidi wakamatwa kuzuia maandamano

    Una Amani ww au woga tu.
Back
Top Bottom