Recent content by kobonde

  1. kobonde

    Wali wa nazi

    jira ni jira 😩
  2. kobonde

    Msaada wa namna ya kupika uji wa mchele

    Chemsha mchele kisha saga ,halafu tia tui sukari chumvi kidogo na hiriki.
  3. kobonde

    Imenigusa thread inayosema "We mwanamke inakuwaje utandikiwe kitanda?"

    kumfanyia mumeo sio utumwa bali ni mapenzi tuu,mwanamke utabaki kuwa mwanamke tuu kama ilivyoumbwa.Mwanamme ana majukumu yake mazito sana kwenye familia hivyo huna budi kumliwaza na vitu vidodgo2 kama hivyo,asikuambie mtu mwanamme anapenda kuhudumiwa na mkewe kama hujui jaribu uone tofauti.Kama...
  4. kobonde

    Imenigusa thread inayosema "We mwanamke inakuwaje utandikiwe kitanda?"

    khe yamekua hayo,mi sitaki ufagilie kitu,ni kweli mtazamo wangu na maisha yangu,kama imekugusa sorry,ila ukweli ndio huo.hell huku utaenda wewe mi simo.
  5. kobonde

    Imenigusa thread inayosema "We mwanamke inakuwaje utandikiwe kitanda?"

    Habari zénu? Nimegundua wanawake wengi wanaridhika kutandikiwa vitanda na hg.Kwa kweli tunaenda kinyume na maadili,mwanamke pambo la nyumba"haimaanishi kupaka make up tu" usafi wa Chumbani kwako ni jukumu lako mwanamke,mwanamme atasaidia akitaka.Bibi tandika weka shuka nzuri fukiza udi chumba...
  6. kobonde

    wema dada wa vituko

    hatari,watu walifaidi kwa macho baada ya kulewa.
  7. kobonde

    Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    mmmh mkojo no way, mi pia vinanisumbua niko na dozi na najaribu masharti ila kwa mkojo naona kama ntatibu vidonda na kuamsha mental problem.
  8. kobonde

    Jinsi ya kupika hindi kwa kutumia microwave

    kama kuna uwezekano wa kuepuka microwave epuka sio nzuri kila mara. mi nachemsha na microwave ninayo.ila kama utafanya siku 1 1 sio mbaya
  9. kobonde

    Video ya unyama ya wanafunzi waliopigwa na kuchomwa moto na wanakijiji kwa tuhuma ya wizi wa simu

    jamani kweli roho za watu manne na sim wapi na wapi, wakati sim hiyo hiyo imetengenezwa na binadamu. huu ni ufinyu wa mawazo na ukosefu wa imani.Na mashahidi wanatazama hukumu inavyotolewa kwa wanadamu wenzao.inasikitisha sana.
  10. kobonde

    Ndani ya Chumba cha mtihani

    Sio mwaka tu zaidi ya century
  11. kobonde

    It Can Kill Cancer

    Mwenzio kacopy n paste halafu wewe unataka Kiswahili.Dogo jiangalie
  12. kobonde

    What kind of life is this!

    Khaaa! Uzipate azikwapue.
Back
Top Bottom