Recent content by koboko26

  1. K

    MBOWE mnatuharibia chama, chama kinazidi kupotea

    Wewe umetumwa na CCM kuja kuwachafua viongozi wa CDM. Hivi wewe unaona raha sana kama hichi chama kitapoteza mwelekeo na hatimaye kufa kabisa kama vilivyokufa vyama vingine? Tutakuwa hatujengi nchi na wala hatuwatendei haki wananchi wengine, watoto wetu na vizazi vinavyokuja. Kujenga chama cha...
  2. K

    Nifanyeje ili nikimaliza masomo nipate ajira?

    Usipotoshe bana. Assume ndo mwanao, utamshauri asisome kwa bidii na kupata GPA nzuri? Sasa unataka akae tu asisome? Kutengeneza network ya kuja kupata ajira hakumzuii mtu asisome ili apate GPA nzuri.
  3. K

    Nifanyeje ili nikimaliza masomo nipate ajira?

    Wewe kwa sasa komaa na mambo yanayokukabili. Soma kwa bidii zako zote upate GPA nzuri ili uwe kwenye nafasi nzuri ya ku meet vigezo fulani fulani vya ajira au elimu ya juu zaidi. Hata kama utaamua kujiajili mwenyewe unajukumu la kusoma sana upate scores nzuri.
  4. K

    Dkt. Slaa: Mabomba ya gesi toka Mtwara yanaelekea Ulaya!

    Sio kila kitu paka uambiwe moja kwa moja. Hali halisi ya nchi yetu tunaijua. Aina za viongozi tulionao kwenye serikali yetu tunafahamu. Sasa tumeshindwa nn kumuewa Slaa. Kabra haujaropokwa humu ndani, fikiria mara 3.
  5. K

    Dkt. Slaa: Mabomba ya gesi toka Mtwara yanaelekea Ulaya!

    Kweli watanzania wenzangu walio wengi walitanguliza midomo wakati wanazaliwa. Hivyo hivyo hata mpira kwetu unadidimia kwa sababu ya tantalila kibao. Kwa wenye akili na uwezo wa kunga'amua mambo wamemuelewa Slaa anachokimaanisha. Yeye sio mtoto mdogo.
  6. K

    Rais Kikwete Ateua Makatibu Tawala wa Mikoa

    Hivi wewe una umri gani? Kama hujui kazi za RAS usiropoke. Utasema hata Waziri wa mambo ya nje ni Receptionist wa nchi. RAS ni moja ya vyeo nyeti sana katika taifa hili. Ndio maana anachaguliwa na kuapishwa na Rais na sio kiongizi mwingine. Yeye ndo accounting officer wa mkoa. Katika muundo wa...
  7. K

    Rais Kikwete Ateua Makatibu Tawala wa Mikoa

    Hii inadhihirisha jinsi gani taifa hili bado linawajinga kiasi kikubwa. Kuweza kufunguana JF na kupost basi kunafanya upost au kuchangia chochote unachojisikia nyang'au wewe. Kama huna uwezo wa kufiiri na kupambanua facts ili uweze kutoa mchango unaoeleweka, just sit back and watch!!
  8. K

    Rais Kikwete Ateua Makatibu Tawala wa Mikoa

    Kwani kushushwa au kupandishwa cheyo kuna angaliwa dini ya mtu. Mbona amempa pinda, lowasa uwaziri mkuu bila kuangalia dini. Si angewapa waislam wenzie. Mimi nina wasiwasi na akili yako. Unapotaka kuropoka, shirikisha halmashauri ya kichwa na sio halmashauri ya ------. Mbwa wewe!!
  9. K

    Ongezeko la mashoga bongo. Tatizo ni nini?

    Nakubaliana na wewe kuwa gays are almost everywhere. But it's pathetic kuona Vatican au baadhi ya wawakilishi wa Vatican kwenye nchi zao husika ni ma shosti. Pale ni mahali patakatifu anapoishi baba mtakatifu kwa mujibu wa wa kristo wa dhehebu la Roman ambao. Kama walivyo wakristo wa madhehebu...
  10. K

    Ongezeko la mashoga bongo. Tatizo ni nini?

    Kwa mujibu wa dini ya kikristo, kanisa ni nyumba/sehemu ya Bwana. Ni mahali ambapo wakristo wanaamini ni patakatifu kwa kufanyia ibada na mambo yote ya kiroho kama ibada, sala za ubarikio na mazishi. Mchungaji ndio kiongozi wa kiroho wa mahala hapo patakatifu na hata nje ya hapo. Yeye ndo...
  11. K

    JK ashaozesha mwanae, tegemeeni baraza jipya Next week

    Wewe ni Mswahili halafu una husda. Ulitaka iweje? Ikulu si ndo anapokaa baba yake. Mbona huku mikoani tunafanya sherehe kwenye nyumba za serikali kila kabla hatujauziwa? Ikulu ni jengo la serikali kama yalivyo mengine. Pana utakatifu kuliko kwenye nyumba zetu za ibada? Mwalimu aliongea hivyo sio...
  12. K

    Ongezeko la mashoga bongo. Tatizo ni nini?

    Hii kauli imenisikitisha sana. Jaribuw kuangalia hali halisi duniani ilivyo. Kuna nchi gani ya kiarabu duniani wana entertain huu upuuzi? Nchi nyingi za kiarabu Kuna sheria kali sana. Ukiwa mzee wa mini kabang wakakudaka ni kitanzi tu. Lakini nchi za wazungu wanapitisha na sheria kabisa ya kuwa...
  13. K

    Ongezeko la mashoga bongo. Tatizo ni nini?

    Itakuwa na wewe shostito...
  14. K

    JK ashaozesha mwanae, tegemeeni baraza jipya Next week

    Wivu huo!! Kikwete bado anao watoto wa kiume. Mpeleke na wewe mwanao akaolewe na mmoja. Haya yote yanakuja kwa sababu mtoto wake ameolewa na mtoto wa Amiri J. Huyo Amiri J ni mtu tu kama mimi na wewe!! Acha roho ya kichawi.
Back
Top Bottom