Recent content by kobero mizambwa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wazo la Leo: Haya Ndiyo Mabadiliko Tunayoyataka - Tuyataje, Tuyatambue na Tuyakubali

    Mabadiliko ni mabadiliko. Theory of development inasema 'No change no development' hata kama mabadiliko hayo ni machungu kama shubiri. Viongozi ambao hawaoni mabadiliko yakija hujisahau na Kuwait wafalme. Hii ndivyo ilivyo Tanzania leo. Mabadiliko ni process. Hivyo Zambia wataendelea kuliko sisi...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya CHADEMA kuendelea kuvutana juu ya ujio wake, Edward Lowasa aanza mazungumzo na Mbatia

    Hivi urais umeshakuwa biashara?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete: Serikali haitaanzisha Mahakama ya Kadhi

    Ni rahisi sana kwa baadhi ya watawala kutumia dini kama ngazi ya mafanikio. Sasa ni kwa nini ni lazima sheria ya TZ iitambue mahakama hii? Mbona hakuna utambuzi wa dini nyingine? Huu ndio ufa wa udini aliosema Nyerere.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Man of the moment: Reverend Christopher Mtikila

    I ami confused. Are you talking about Thé Al Hudah?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Haya ndio Maneno ya Mwisho ya Baba wa Taifa Hili Mwalimu Nyerere Kuhusu Muungano!!

    Tatizo la sasa hivi ni kuwa katiba Zanzibar wamevunja katiba ya muungano
  6. K

    JamiiForums Tanzania Watanganyika wanaoishi Zanzibar watakiwa kuomba vibali vya ukazi

    Inabidi kiongozi wangu Nape arudi tena kwa waandishi wa habari atueleze. Ni kwa nini chama chetu kinataka serikali mbili wakati sisi tunanyanyasika Zanzibar? Masilahi ya chama chetu cha mapinduzi ni yapi wakati katiba ya Jamhuri ya Muungano imeshavunjwa na Zanzibar? Kati ya CCM na wananchi ni...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tuhuma dhidi ya Zitto kuhongwa magari: Nimrod Mkono akanusha!

    Soma gazeti la Mwananchi
  8. K

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Prof. Abdallah Safari awe Mwenyekiti CHADEMA

    Wote nyinyi mnaotumia dini katika propaganda za kijinga rejeeni mafunzo ya JK Nyerere katika hotuba ya Kilimanjaro Hotel. Na kama ni kweli mnaongea kwa niaba ya CCM basi mjue kuna sisi CCM wenzenu mnatuumiza. Nawashauri acheni mara moja huu mchezo wenu mchafu.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe, Hayo ndio maazimio ya Bunge ambayo Werema anakwepa kueleza utekelezaji wake

    Kuna ubaya gani bunge likifanya kama Zitto alivyoomba if at all wabunge na Spika are serious?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Vurugu za UAMSHO Zanzibar: Polisi auawa kikatili...

    Nyerere: Tunataka kiongozi wa Tanzania ambaye swala la udini linamchukiza na ataonyesha kwa vitendo kuwa udini unamchukiza.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Gazeti la MwanaHalisi lafungiwa kwa muda usiojulikana!

    Kwa kulifungia gazeti la Mwanahalisi serikali imesababisha CCM ichafuke kupita kiasi. Wanachama na Wapenzi wa CCM wanaumia sana ila hawana pa kusemea na wakijaribu kusema ni kama hawasikilizwi. Kwa nini viongozi msiunde tume huru ikafuatilia na kuweka hadharani kilichotokea? Woga unatokea wapi...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Katiba Ya Zanzibar Imekiukwa!

    Una umri gani? Umeshavuka miaka 18?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge avilalamikia Vyombo vya habari vya Tanzania kwa udini

    Inaelekea Alqaida wapo tz pia. Msikilize anayejiita malumbano. Lazima kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia. Mungu atawalaani wote wenye nia mbaya na nchi hii. Kwa nini kila kinachozungumzwa anarukia ukristo na uislamu? Hana ndugu zake wa damu ambao ni wakristo?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Matamko ya BAKWATA na UAMSHO ni dalili ya serikali za CCM legelege

    Nyerere alitupa elimu ya bure. Wa Morogoro alipelekwa kusoma Moshi wa Moshi Mtwara na kadhalika. Yote hii kwa kodi zetu. Sishangai uchumi uliyumba lakini kazi ya kuondoa udini na ukabila ilifanikiwa. Acheni udini na ukabila.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Uamsho wakana kuhusika na vurugu za Zanzibar

    Inasikitisha kuona udini unaambatanishwa na siasa katika Tanzania ya leo. Aibu kubwa.
Back
Top Bottom