Recent content by kobe mzee

  1. K

    Mbunge wa Mbarali (CCM) kwenda jela miezi 10 au kulipa faini

    Naomba kwa wanaojua sheria wanisaidie suala hili. Mbunge wa mbarali-mbeya (CCM) Dickson Kilufi alikutwa na hatia ya kutishia kuua kwa bastola na mahakama ilimhukumu kwa kosa hilo, hukumu ilikuwa kwenda jela au kulipa faini. yeye alilipa faini. je, mbunge huyo bado anasifa ya kuwa mbunge?
  2. K

    Zitto Kabwe awasha moto Songea!

    Zitto awawashia Moto TANESCO Songea na Kutoa Onyo kwa IGP na RPC Naibu katibu mkuu wa CHADEMA, Zitto Kabwe leo jioni alikuwa akiuunguruma Lizaboni Songea katika kampeni wa uchaguzi mdogo wa udiwani unaotarajiwa kufanyika tarehe 1/4/2012. Katika hotuba yake mheshimiwa Zitto amewahakikishia...
  3. K

    Zitto Kabwe awasha moto Songea!

    Naibu katibu mkuu wa CHADEMA, Zitto Kabwe leo jioni alikuwa akiuunguruma Lizaboni Songea katika kampeni wa uchaguzi mdogo wa udiwani unaotarajiwa kufanyika tarehe 1/4/2012. Katika hotuba yake mheshimiwa Zitto amewahakikishia wakazi wa Songea kuwa atahakikisha wafanyakazi wa TANESCO ambao...
  4. K

    Maandamano makubwa Songea!

    nimesikitishwa na kauli kwamba wanasiasa na wanaharakati ni chanzo cha maandamano songea soma zaidi kauli hii songeayetu.blogspot.com
  5. K

    Maandamano makubwa Songea!

    watu wawili wameua na wengi kujeruhiwa asubuhi hii songea. raia hao walikuwa wakiandamana kushinikiza jeshan la polisi lichuke hatua kwa mauaji yanaendelea kila siku mijini hapa. taarifa zaidi na picha za matukio tembelea songeayetu.blogspot.com
  6. K

    kwa wanaomiliki simu *150*55# ni namba ya nini?

    kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na maswali mengi juu ya code namba hiyo, kwa yeyote anayemiliki simu ukipiga namba hiyo itakupa option nyingi kama za m.pesa , simu banking n.k sasa kiasi cha pesa nazoambiwa ni balance yangu zimetoka wapi? na iweje kila mtu awe na sh. laki 8? kwa anayejua...
  7. K

    Hii imekaaje ya kuja kulipia daraja la Kigamboni?

    ndugu yangu si kupenda vya bure, kumbuka serikali inatoa asilimia arobaini ambazo ni pesa zetu watanzania. pia kumbuka kigamboni imeuzwa hivyo tunatumia pesa zetu kujenga mji uliouzwa. akili kichwani.
  8. K

    Vitabu vya kufundishia Kiswahili

    nenda duka la vitabu idara ya kiswahili chuo kikuu cha dar es salaamu hapo utapata kitabu kwa ajili ya kiswahili kwa wageni ni kitabu kizuri sana. nq kamusi zote utazipata.
  9. K

    Kwa walimu wote

    SHAIRI HILI LINAITWA "KWA WALIMU WOTE" LIMEANDIKWA NA PROFESA KEZILAHABI MWALIMU NA RAFIKI YANGU. sikilizeni wimbo huu: nilipokuwa mtoto niliitwa Chacha kwa matamshi yangu ya sasa nilipokuwa kijana niliitwa Chaupele nilipokuwa mtu mzima niliitwa manywele nilipokuwa mwalimu niliitwa BURE. Huu...
Back
Top Bottom