kwa wale wa MAGAMBA BOYS a.k.a GAMBIAN BULLS kule lushoto, kulikuwa na mtindo wa kupigwa fundo form 1 usiku, yaani jamaa anafunga peasi kwenye taulo halafu usiku ukiwa umelala unabondwa nalo kisha ukishtuka mtu keshasepa, ili kuepuka hilo inabidi daily uwe bundi darasani usome, au form 1 (njuka...