Recent content by knowman

  1. knowman

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa ACT - Wazalendo viwanja vya Furahisha Mwanza

    Tuseme watu walifuata umaarufu na sio sera?
  2. knowman

    JamiiForums Tanzania Treni mpya ya kwenda Kigoma ndiyo habari ya mjini! Sipandi tena gari kwenda Kigoma...

    Naishukuru serikal ya Tz kwa hili
  3. knowman

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete kuhutubia Ijumaa

    ok,kumbe anahutbia wazee tu!
  4. knowman

    JamiiForums Tanzania Video na Picha: Ushahidi kuhusu yaliyotokea kwa Jaji Warioba wakati na baada ya vurugu, Ubungo Plaza

    Siku 70%ya watanzania wakijua ukwel itakuwaje?
  5. knowman

    JamiiForums Tanzania Trafiki Buguruni ana nini?

    Nilikuwa cjui kwamba umefirisika mawazo kiasi hiki!hivi hili tatizo la foleni limeanza leo!we unafikiri tatzo ni miundo mbinu au huyo askari police?duh heri ungekuwa maskini wa fedha tungekuchangia lakini umefirisika mawazo yan ni shida
  6. knowman

    JamiiForums Tanzania Zambian President, Michael Sata dies in London

    RIP sata
  7. knowman

    JamiiForums Tanzania Polisi Wavamia Mkutano wa Halima Mdee na Kuvunja Vibanda pamoja na Vifaa vya Matanganzo

    Kwako mkuu!kaa ukijua kwamba technology imekuwa tena kwa Kasi ya ajabu,uhalifu wa miaka 70 iliyo pita ni tofaut na uhalifu wa leo,zaman mtu alijitokeza live ikawa rahis kukabiliana naye leo mtu huwez kumjua kiurahsi mpaka tukio,ona Westgate!hapakuwa na walinzi? Kumbuka kinga ni bora kuliko...
  8. knowman

    JamiiForums Tanzania Polisi Wavamia Mkutano wa Halima Mdee na Kuvunja Vibanda pamoja na Vifaa vya Matanganzo

    Kwako mkuu!kaa ukijua kwamba technology imekuwa tena kwa Kasi ya ajabu,uhalifu wa miaka 70 iliyo pota ni tofaut na uhalifu wa leo,zaman mtu alijitokeza live ikawa rahis kukabiliana naye leo mtu huwez kumjua kiurahsi mpaka tukio,ona Westgate!hapakuwa na walinzi? Kumbuka kinga ni bora kuliko...
  9. knowman

    JamiiForums Tanzania Polisi Wavamia Mkutano wa Halima Mdee na Kuvunja Vibanda pamoja na Vifaa vya Matanganzo

    Hawa polisi wa nchi gani?toka lini polisi wakavamia?acha kupotosha uma!kwa uhakika zaidi kama chadema wameonewa(halima mdee)lazima tutackia,wote tunajua haki inapatikana wapi!!1
  10. knowman

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Majira mmekosa cha kuandika?

    Tatizo watu wanakurupuka na wanashindwa kuelewa nn wazungumzie, sasa hapa sielewi watu wanalalamikia nn?rais kupokelewa na msafara kama ule,au dafar za rais nje ya nchi, ama safar zmekuwa njingi,yan hata hoja yenyewe haina mashiko na utagundua kuwa ndoano yenye chambo marachache kukosa...
  11. knowman

    JamiiForums Tanzania Naseeb Abdul maarufu kama 'Diamond' ashikiliwa na Polisi kwa muda

    Sheria ichukue mkondo wake
  12. knowman

    JamiiForums Tanzania List ya transfer za degree mbali mbali

    Aksante mkubwa(aman abdalah)
  13. knowman

    JamiiForums Tanzania List ya transfer za degree mbali mbali

    Shukran zikufikie mkubwa(Aman Abdallah)
  14. knowman

    JamiiForums Tanzania List ya transfer za degree mbali mbali

    Nategemea msaada wako mkuu!!naomba uweke yote
  15. knowman

    JamiiForums Tanzania List ya transfer za degree mbali mbali

    Weka yote tukeshe tu kwan engine tupo mbal na huduma za haraka na simu zetu hazna uwezo wa kufungua hiyo link
Back
Top Bottom