Mbona inaonyesha watoto wa umri chini ya miaka 18 ndo wameujaza uwanja? kwa nini tusiseme wamefuata kumwona Dimond na Alikiba? shame on you CCM. Kama mnabisha hilo ktk mkutano wenu msitangaze kuwepo kwa kina Diamond au mwanamziki yoyote muone kama watu watahudhuria huo mkutano. Wenzenu UKAWA...
1. Nimekua nikifuatilia mikutano ya kampeni za UKAWA na CCM, sijaona au kusikia mgombea hasa wa urais anayezungumzia kutumia lugha yetu ya Kiswahili ktk matukio/ mikutano ya kiserikali ndani na nje ya nchi.
Kimsingi mimi nasikitika sana ninapoona Rais wa Tanzania anapotumia lugha ya kigeni...
MKUU umeongea jambo la maana sana. Tena hasa huyo anayejiita mdogomodogo sijui polepole anapaswa kukatwa ngebe sana. kama yeye ni mzalendo aje siku nyingine aongelee uchafu wa magufuli au mkapa tumwone mwanaume basi. vijana wa namna hii uzeeni huishia kuwa wachawi au waganga wa jadi.
Nani mroho wa Madaraka ya kuongoza dola kati ya CCM na UKAWA? CCM wametawala miaka 51 na hawapo tayari kuachia madaraka. UKAWA haijawahi kutawala. Je utasemaje UKAWA ni waroho? Kwani uliambiwa madaraka waliyonayo CCM ya kuongoza dola ni ya milele? Aliyewapa madaraka ndiye atakaye yanyang'anya...
Tumeona vyama dola vikubwa duniani vilivyoangushwa kwa sanduku la kura. Kama ccm ilikuwa na mwanzo pia ina mwisho wake. Na mwisho wake kwa asilimia kubwa mwaka huu.
Jamani mimi ni mdau wa mkutano wa CDM uliotangazwa kuwa utarushwa live na ITV/Radio one na STAR TV. Kwa sasa nipo huku AMSTERDAM UHOLANZI na wabongo kibao tukisubiri hiyo live stream ya STAR TV. T.Makene alisema mkutano utarushwa kuanzia saa 8 mchana. Mbona tunaelekea saa 9 hatuoni kitu? Au...
Watanzania tumekuwa tukishudia wanachama na wagombea wa urais kupitia CCM wakipita mikoani kwa kile wanachokiita KUWATAMBULISHA WAGOMBEA. Hivi ni nani asiyemjua Magufuli na Samia nchi hii mpaka wapitishwe mikoani kutambulishwa?
Binafsi naamini huko ni kuanza kampeni kabla ya wakati. Katika hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.