nkondola amon
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 365
- 65
Watu hao wakishajihakikishia kuwa wateule wa CCM hatua inayofuata ni kuchukua fomu za Tume ya uchaguzi na kuzijaza kupitia CCM kisha fomu hizo watakaa nazo mpaka saa moja kabla ya muda wa Mwisho wa kurudisha kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi
Wakati muda ukiwa unayoyoma wagombea hao kwa pamoja watatangaza kujitoa katika kinyang'anyiro hicho kupitia CCM na kutangaza kujiunga na vyama vinavyounda UKAWA wakati huo watakuwa tayari wameshachukuliwa fomu za kuwania majimbo hayo hayo kwa tiketi ya vyama walivyojiunga navyo
Hii ni cooked story halaf kumbuka Tume ni ccm ikibaki sa moja kurudisha fom wanaweza wakaongeza ata wiki ili wachaguliwe wengne kuwakilisha ccm Stor yako haina mashiko[/QUOTE]
na huko si kuna kura za maoni au wanapitishwa moja kwa moja