Tumrudishe Msigwa tena bungeni

Tumrudishe Msigwa tena bungeni

piga maandalizi ya mkutano acha longolongo na hii ni amri -over!
 
anadhalilisha ya uchungaji.. ni bora ieleweke kuwa ameacha uchungaj ni mwanasiasa kama dr slaa..! VITA VYAKE HAVIPASWI KUWA VYA ULIMWENGU HUU BALI VYAPASWA KUWA VYA KIROHO.. MATHAYO 7;21
Acha upumbavu kwani mfalme Sauli, Daudi, Suleiman na wafalme wengi wacha MUNGU walikuwa wanawaongoza nyani kuna tofauti gani kati ya hao wafalme na kazi msigwa anayofanya Bible yenyewe hata hauijui unaongea pumba tu.
 
Mwenye nyumba anakuja mwakalibela akae chonjo huyu alipata kwa huruma ya wana iringa baada ya kukatwa mwakalibela
 
Mliopo huko tupatieni walau picha za mapokezi ya msigwa tafadhari.
 
Mwenye nyumba anakuja mwakalibela akae chonjo huyu alipata kwa huruma ya wana iringa baada ya kukatwa mwakalibela

Kama ni nyumba basi imeshapigwa na mjanja Peter Simon Msigwa. Na pia ameweka milango na madirisha ya chuma na sasa tunapanga namana gani ya kuchukua halimashauri ya iringa mjini.
 
Back
Top Bottom