Recent content by kkavu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mkombozi Bank: Miamala iliyofanywa kupitia Akaunti ya VIP Engineering ilikuwa halali

    Baada ya Bank ya Mkombozi kutakuwa sana bungeni katika wiki HII idadi kubwa ya watu wamefungua akaunti katika Benki kushinda kipindi kingine chochote toka Bank hii ianzishwe.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli amfutia leseni mkandarasi, mkurugenzi Kabwe kushitakiwa

    Hizi story zinafurahisha sana ni hadithi za hekaya ya Babu
  3. K

    JamiiForums Tanzania Maofisa ofisi ya CAG watishiwa kifo

    Ile issue YA vyoo Si mchezo Hivi watu wa mwanza tuambieni bili kuja kurekebishwa?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Maofisa ofisi ya CAG watishiwa kifo

    Mtu mzima mkaguzi ushushwe cheo na taratibu zote unazijua inakuwaje?unadanganywa wewe uwe unajiuliza maswali basi ya Msingi usikurupuke tu mzee
  5. K

    JamiiForums Tanzania Maofisa ofisi ya CAG watishiwa kifo

    Hakuna anayekuja ukweli WEWE mwenyewe hujui.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Maofisa ofisi ya CAG watishiwa kifo

    Tusameheane kidogo ila nimefatilia sana toka mwanzo mchakato mzima nimegundua hawa wabunge ni waongo sana wanadanganya wananchi na kwa kuwa hatuna uwezo wa kuhoji na sisi tunaendeleza mijadala kama vipofu.mimi nina maswali machache kama mwenyekiti aliweza kuwataja hadharani mtandao wa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Jiji la Mwanza kufutwa kutokana na ufisadi wa zaidi ya shs bil 46

    Nimefatilia Kwa karibu majadiliano yenu nimeona hakuna hata Moja la maana mlilojadiliana.kwanza Taarifa yenyewe YA TBC inaonekana ni YA kisanii tupu.pili hiZo report za CIG ziko kwEnye mtandao nimezisoma zinaonekana zinamapungufu makubwa na zina maswali mengi sijui hata hao waliokuwa wanaandika...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nimekimbia mshahara wa Tsh 850,000 kwa mwezi

    Fuchscud b
  9. K

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kujua kama tatizo la simu hii ni Software au Network Lock!

    Njoo nayo Kama uko dar
  10. K

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kujua kama tatizo la simu hii ni Software au Network Lock!

    Naaunlock for 30,000 kwa dk 30
  11. K

    JamiiForums Tanzania I stand with Israel

    Nyerere aliwafukuza hao an alikuwa mkristo
  12. K

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Tumaini ukicheza unaweza kufa kwa huduma mbovu

    Tumieni hospitali zetu madaktari wapo Muda wote huko private wanategemea madaktari wale wale wa serikalini
  13. K

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 14 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    Niambiwe Tundulissu kadanganya Taifa?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ahsanteni ghana ...waarabu si waafrika

    Yaani Ghana wamenipa raha sana.na wana timu nzuri sana aisee.
Back
Top Bottom