Ahsanteni ghana ...waarabu si waafrika

Ahsanteni ghana ...waarabu si waafrika

We unaishi dunia ya wapi nyang'au we. Vipi Algeria,moroko,
Naishi Dunia ya Watu waliojitambua! Wahindi ,Waarabu watabaki kuwa hivo AFRIKA NI YA WAAFRIKA WEUSI ,HATA WAO WANAJUA NDIO MAANA HAWACHANGANYIKI /LABADA WAWE WANATAKA KUCHUKUA VISENTI VYAKO PUSI WEWE!
 
ili uwe muafrika unatakiwa uwe rangi gani au dini na madhehebu gani? Mm nakuona ww uko nyuma sana mpaka leo hii unazungumzia rangi ya mtu. Ivi rangi ya mtu inapatikana wp mpaka mtu ujivunie rangi yake? Mm najua mtu anajivunia kitu alichokitafuta yeye mwenyewe kwa nguvu na akili yake.nadhani hao misri wangecheza na ujerumani ungekuwa upande wa ujerumani kwa kuwa unalo lingine linalo kusuguwa.
hapo ningeangalia soka tu sina uzalendo na waarabu wala warumi,......kama wao hawanatubagua sisi tufanyeje! Achana na mawazo ya kijinga na fikra duni ......africa ni ya waafrika weusi! Ulishaona wapi misri inawashwa na mabo yetu weusi ....kaa na ujinga wako .....safi sana ghana kuwapiga waarabu!
 
Hizi shule mlisomea wapi ambazo haiwafungui akili ,kila mtu mwenye akili anajivunia chake! Makaburu walikuwa wanalinda maslahi yao ,na mimi najivunia afrika yangu =mbali ya rangi uafrika unaenda mbali zaidi ....falsafa,utamaduni nk...halafu unazungumzia makaburu wapi ! Hawa mliowakabidhi uchumi na sasa mnawaita wawekezaji ! Habu tumia akili dogo ....afrika ni ya waafrika ....hivi hujakaa karibu na hawa watu ukawajua uzuri!
wewe ni mbaguzi sawa na makaburu hufai katika jamii hii ya leo tokomea mbali
 
Misri, Algeria, Tunisia, Morocco, Sudan, Libya, ziko bara gani? Raia wake, wawe manjano, kijivu au buluu, ni wa bara gani? Raia wa bara la Afrika wanaitwaje kwa neno moja? Au unataka kutuambia wao ni makaburu waliowavamia wenyeji wa nchi hizo kama ilivyofanyika Afrika ya Kusini? Kama ni hivyo, hao wenyeji wa nchi zote hizo ndani ya Afrika wamekimbilia wapi na lini?Ina maana Wasaudia, Walebanon, Wayemen, Waimarati, Wasyria, Waqatar sio Waasia kwa sababu ni Waarabu? Kama ni hivyo Waarabu kwao wapi hasa? Hivi Mbilikimo si Waafrika kwa sababu ni Wakongo? Au ulikusudia Wamisri si Waafrika halisi kwa sababu ni Waarabu? Kwani mtu hawezi kuwa raia wa nchi au bara moja lakini mwenye asili ya nchi au bara jengine? Hao unaosema si Waafrika, asili yao wapi?Kama weusi ndio Uafrika, ina maana Mkapa ni Mwafrika zaidi kuliko Jakaya?
 
mwarabu sio mtu mweusi na ikitokea basi anabaguliwa sana na familia yake na mfano ninao....safi sana ghana kwa mlichowafanyia hao
 
Wote hao siyo waafrika, maana wanawadharau watu weusi.
Uongo, Huo ni UONGOOO!! dharau ipo katika level zote Mchagga kwa Mgogo !! Mttutsi kwa Mhutu !! Looh Mdigo kwa Msukuma !! Mpemba kwa Munguja !! Mpare kwa msamba !! nk nk.... hakuna dharau kwa rangi alokupa Mungu wako. Jiheshimu na upende ulichotunukiwa utapendeka.
 
Hizi shule mlisomea wapi ambazo haiwafungui akili ,kila mtu mwenye akili anajivunia chake! Makaburu walikuwa wanalinda maslahi yao ,na mimi najivunia afrika yangu =mbali ya rangi uafrika unaenda mbali zaidi ....falsafa,utamaduni nk...halafu unazungumzia makaburu wapi ! Hawa mliowakabidhi uchumi na sasa mnawaita wawekezaji ! Habu tumia akili dogo ....afrika ni ya waafrika ....hivi hujakaa karibu na hawa watu ukawajua uzuri!
Kweli dunia ina maajabu nawe KYALOSANGI ni wa Ajabu!! Mchezo wa mpira tu umekufanya uwemropokaji na mbaguzi!!
Haki yako kufurahia ushindi wa GHANA... ingelikuwa unashangilia TAIFA STARS hapo ungestahili tuzo.!! Sasa unachanganya chuki na hasira zako ilimradi utoe joto lako GO AHEAD jiburudishe, Lakini weka kichwani Afrika na UWEUSI unaoufahamu wewe ni wako pekee!! Hivi sasa Afrika haijigambi au kubweteka kwa rangi yake au Ubantu wake.(( Masiala na mambo ya rangi yamepitwa na wakati )) Damu zimeshachanganyika makabila ya waarabu na Makaburu na wazungu pori wamezaana na waAfrika na kuunda Taifa la kisasa. FYI Tazama Namibia,Mauritania, Morroco,Sudan,S/Africa,Tanzania,Misri nk... nawe kesho utaanza kutafuta mke wa kiaarabu! au Viongozi wako wapo njiani kusaka wazungu au waarabu!! Tme will tell.
 
mwarabu sio mtu mweusi na ikitokea basi anabaguliwa sana na familia yake na mfano ninao....safi sana ghana kwa mlichowafanyia hao
Samahani huna Mfano wowote ... usemayo ni UONGO na uongo kwenye mchan kweupeee!! Ok Ghana hongera kushinda huu ni mchezo na MISRI kesha shinda mara na mara kibao "This is sports and pleasure" Lakiniubaguzi ni wako wewe pekee.
 
Back
Top Bottom