Recent content by Kizzy

  1. K

    IMFIKIE MADAM WEMA NA WADADA WENGINE MFANO WAKE

    PHOTOSHOP GONE WRONG HII NI PICHA YA WATU TOFAUTI KABISA
  2. K

    Why Black People and White People? (Kwanini kuwe na Mtu Mweusi na Mtu Mweupe?)

    mmhm si dhani kama kuna watu weupe, binafsi bado sijakutana nao ila wapo watu ambao ni (pale) au pink hao wapo wengi na asili yao ni bara la ulaya.
  3. K

    Waislam wa Tanzania na tatizo la udini katika Wizara ya Elimu

    Mimi nakumbuka shule ya msingi kulikuwa na jamaa muislamu alikuwa mtaalamu wa kupiga dufu balaa kasheshe ikaja kwenye paper jamaa akawa anachora tu picha za watu na magari kwenye karatassi ya majibu kisa hajui cha kuandika maana kazoea madrasa tu. Kibaya zaidi hata akitaka kuandika anaandika...
  4. K

    Kwa waliooa: Hivi pale sebuleni kwako una siti maalumu au unakaa popote tu

    Well this is called autism and we all have at a different levels believe it or not, mtu kuwa autistic ni ilie hali ya kupenda kufuata taratibu fulani tu ktk mambo yako, na binadamu wote tuna hali hii. Nakumbuka kuna mshikaji yeye alikuwa na kiti chake darasani hata kama viti vyote vinafanana...
  5. K

    Kauli tata za Mama Salma Kikwete

    Na ukiona watoto wanakalia matofali au wanakaa chini mashuleni ujue ni ccm, na ukiona hakuna madawa mahospitalini ujue ni ccm na ukiona nchi inazidi kuangamia na hakuna maendeleo ya maana ujue ni ccm na ukiona kuna mgao wa umeme ujue ni ccm :teeth:
  6. K

    Scholarship to study in the UK

    Kwa wale wanaotaka kusoma nchini UK hii hapa link ya sponsors Marshal Papworth Fund haswa kwenye nyanja ya kilimo tafadhali mtaarifu mwenzio kama wewe haupo makini kwenye hii fursa.
  7. K

    Kuuliza si ujinga, hivi michuzi blogspot ni mali ya CCM au?

    Wadau nauliza tu swali la kizushi hivi blog ya michuzi imenunuliwa na CCM au? Maana naona post zake ni mikutano ya CCM tu hakuna kingine.
  8. K

    Najivunia kuzaliwa wa kike

    Wanaume tukifeli tunaweza beba mizigo piga matofali kwenda kulima shamba ili mradi kieleweka lakini wadada wengi mkifeli na msipoolewa mnakuwa manunga yembe (Dada pao).
  9. K

    Lowassa akimbia Mdahalo wa Wagombea Urais

    Tumpe tu Lowasa awe rais wa kwanza kufia madarakani LOL:teeth:
  10. K

    Kutongoza shule ya msingi ilikuwa kazi ebu ipe maneno hii picha LOL

    Mzee zamani hao ndio la sita au saba au wewe wa juzi lol
  11. K

    Kutongoza shule ya msingi ilikuwa kazi ebu ipe maneno hii picha LOL

    Kutongoza shule ya msingi kumbe ilikuwa kazi ebu muone mbaba na kabinti hako
  12. K

    Top 10 best Tanzanian love songs of all times

    Kuna wimbo.mmoja wa zamani sana unaitwa "nipate lau nafasi " nao kiboko umerudiwa mara kibao na band tofauti tofauti
  13. K

    Top 10 best Tanzanian love songs of all times

    Off course Anita Matonya ft lady jay dee
  14. K

    Top 10 best Tanzanian love songs of all times

    Mimi MB Dogg Uliniambia
Back
Top Bottom