Mkuu kipozi anafanyiwa hvo lkn haisaidii...
Mkuu @jamii001 mtoti ajaanza kunywa maziwa ya kopo, ana wiki ya tatu tangu azaliwe.. na hyo kwikwi imeanza akiwa na wiki mbili toka kuzaliwa kwake.. yaan ni kila siku hadi inaogopesha.
Habari zenu wapendwa... naombeni msaada wa dawa ya kwikwi kwa mtoto mchanga wa wiki tatu.wiki ya pili sasa anateseka na kwikwi yaan ni kila siku mpaka analegea mwili. naombeni mnisaidie ameenda hospital lakini tatizo bado linaendelea.. hata dawa ya asili pia naomben mnielekeze jamani. AHSANTENI
Walitoa taarifa jana kwenye taarifa ya habari ya itv kuwa kukosekana kwa umeme maeneo ya temeke,mton, mbagala,kigamboni na maeneo ya karibu kumetokana na kuanguka kwa nguzo za umeme 4 au zaid.
Daaah..!! Jaman huku kwetu segerea mwisho hatulali kabisa yaan wakianza kukesha na miziki yao kuanzia saa 4 usiku had saa 10 alfajir ndo wanamaliza.yan katika wiki tunapumzka siku 3 tu cku znazobaki zote wanapiga dansi zao. Wanaboa kwakwel mbona wakristo wenzao kama RC,LUTHERAN,ANGLIKANA hawapo...
Mmmh..!! Hzo comments zenu znamkatisha tamaa na kumuogopesha dada wa wa2.. Uckubal kusex dada uweke heshma cku ya ndoa yako.. Ni heshma sana hyo umejiwekea ucshawishike kabisa kuitoa hyo k2.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.