TV 1 (Viasat 1) majangaa

TV 1 (Viasat 1) majangaa

iyo tv ni nzuri sana sana, isipokuwa tu kwenye taarifa ya habari, yule mdada anayetangaza taarifa ya habari anachekacheka mno, anaonekana hayuko serious kama msagaji fulani hivi sijui, tangu mwanzo hadi mwisho hatabasamu ila anaonekana kama ana nyege nyingiiiii.

mawazo yako mafupi kama ya funza!habari wameanza jana ww upiga domo la kijinga subiri kwa uone hata mara kumi
 
Inapatikanaje hiyo channel, na hivi huku kwetu tunatumia cable sijui kama watai-add nasi tuione


Mwanzo mgumu..with time na wenyewe watakuwa poa

ipo mie huwa naiangalia mara nyingi sana ila jana ndo wameanza kutangaza Taarifa ya habari
 
Mimi nilitegemea kutokea kwa makosa kama hayo kutokana na kuajiri watu kwa njia ya kimemo, ajira zao pale ni kupitia vimemo. inasemekana kituo hicho cha luninga kinamilikiwa na wa-Swedeni!

Ukiwaweka baadhi ya Afisa Utumishi wa kiswahili bila ya kumsimamia ktk utendaji wake basi tegemea kupata wafanyakazi wasio na ufanisi katika taasisi, shirika au kampuni!

usinambiee
 
Aisee..kwa hiyo nao mtu inabidi ununue ving'amuzi vyao au niaje...nadhani hawa jamaa watakua safi sana kwa baadhi ya hizo channels za history na crimes nazipendaga mno..hebu tufahamishane niwatafute

wanapatikana statimes ndugu tena ni.local channel kama zilivyo tbc 1, itv, startv, eatv na channel 10.
 
Hapo kwa kipindi cha ushoga na usagaji mmenitisha. Ila itabidi niwe na star times niwacheki. Wataimprove tu
 
Hapo kwa kipindi cha ushoga na usagaji mmenitisha. Ila itabidi niwe na star times niwacheki. Wataimprove tu

yap ila mtu wa nje kuanzisha kituo cha tv tu hivihivi trna bureee haiwezekani lazima ana lake..tutaliona tuu kama ndo huo ushoga na usagaji ama vip..ila wana vipindi.vizuri.bongo movies na tv series..
 
Jana niliona habari yao.Watangazaji wake wengi wametoka mlimani tv. Nawasiwasi hii ni mlimani tv.
 
Jana ilikua mara yao ya kwanza kurusha taarifa ya habari nilichokiona:;

Muonekano wa studio:
Jamani muonekano bado hauna mvuto jaribuni kuboresha kidogo halafu anayechukua picha ya mtangazaji anamvuta sana karibu hata mikono haionekani??

mtangazaji:
mtangazaji alikua hajiamini kabisa style yake ya kurudiarudia neno kama kigugumizi inapoteza mvuto..yule dada alikua na hofu sana.halafu akikosea anacheka./tabasam.labda hajazoea kamera tunategemea siku zijazo atafanya mazoez ya kutosha..na jwa wenngine pia..

mpangilio wa habari:
Jamani habari zenu ni nzuri ila hazina mvuto sababu zinakua ndefu sana..mfano ile habari ya madawa ya kulevya ilikaribia dk 4. ike ya umeme nayo..halafu chambueni habari ambazo zina mashiko..mfano kuna habari ambazo zinahit mtaani na kwenye mitandao ya.kijamii au ulimwenguni tunategemea kuzisikia kwa kina lakin hamkua nazo..mfano ishu ya bunge la katiba lililoanza leo, mkutano wa wasomi n.k ambapo habar hizi zilitanganzwa na karibu vituo vingine vyote..

maripota wenu/ waandishi:
jamani ni heri mngechukua waandishi wazoefu wanaoweza kutafuta strong news.na wenye haiba ya kutangaza habari kama kina ufoo saro..jacline silem hemed kivuyo george marato wa itv samadu hassan n.k n.k yaani mpaka msikilizaji huchoki kuisikiliza habari kwa jins mtangazaj anavyotangaza..kuna huyo sijui ndo zuberi hasaan alitangaza habar kama 4 yaan mpaka unasema kitu gani jamani..

Habari za Africa ni habari 1 kimataifa ndo kabisaa..jamani rekebisheni hapa chukueni aljazeera bbc n.k ma news yamejaa mbona wengine kama star tv au tbc 1 wana mahabar kibao ya kimataifa na yana mtu alieandaa kamakala fulani hivi kanavutia..na wanacopy aljazeera ama bbc cnn n.k

habari za michezo:
mimi ni mdau mzuri wa michezo na nijuavyo habar za michezo zina lugha zake na ucheshi wake..so hata mtangazaji anatakiwa kuwa na machachari fulani hivi jamani yaani awe mdau wa michezo kama kina maulid kitenge. n.k
mtangazaji huyohuyo kusoma habari zote mwanzo mwisho haina mvuto jamani angalao kitaifa, africa na kimataifa awe mwingine; biashara awe mwingine hali kadhalika michezo..
sasa habari zenu za michezo zimebezi kitaifa tuuu sikuona kimataifa jamanii..halafu kama jana mliona ile ya ngumi tuu hamkuona hata zinginezinginee!!?

mwisho:;
mmejitahid sana ila tunawategemea na mlivyosema vituo vingine wajipange duu nkasema hebu nione moto wenu kumbe umekua mdogo sana..nawaombeni bas jamani mfanyiefanyie kazi hayo maoni yangu..nadhani tv 1 itakua favourate kwangu pia so msiniangushe..
Jamani samahanini sana sina taaluma ya uandishi ila haya ni kwa mtazamo wangu tuu..
Mbarikiwe...

Nimekua nawafatilia siku ninazorudi mapema nyumbani na mara nyingi hua nakuta tamthilia na movies ambapo wamekua wananishawishi kuhisi hata taarifa yao ya habari watakua wanafanya vizuri ila kwa mapungufu ulioyataja tena ukasema huna ueledi na taaluma ya habari basi kwangu asilimia nyingi zimepungua.

Asante kwa kuyaona mapungufu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Sijapenda taarifa yao ya habari.Ni kama makala vile,hasa ile ya mitumba
 
Kwengine kote kupo poa,vipindi havichoshi unaweza kesha ukiangalia tv ila kwenye habari wamechemka wajipange upya bado mapema.
 
Back
Top Bottom