Ukitaka kujua roho ya mtu ile original siku zote angalia jinsi anavyomzungumzia mtu aliye mnyonge kwake,Eti simlipi kwa kuwa anakunya na kukojoa kwangu! Mungu atusamehe.
Halafu kuna Wabunge wametamka kwenye Mic kwamba watamshughulikia Wenje, nadhani ni wale Wanzibar, kwa hiyo lolote litakalo mpata Wenje inabidi wahusike,kwa kuwa tayari iko kwenye Hansard.
Jua kwamba huyu waziri wanae wala wajukuu zake hawatachapwa hivyo viboko,kwa kuwa hawasomi shule za serikali,watakao ishia kula mboko ni hawa hawa akina Kayumba wakija kuumizwa huko hakuna hata atakae jali.
Kinachoongelewa hapa siyo Mapenzi,hapa ni kubadilishana K kwa Pesa,ndio maana kila mwanamke anajigamba kwa bei ya K yake,na wengine wametaja bei kabisa.
Hayo ni MAGUMEGUME, na ndio wanaowapa nafasi nyumba ndogo,mwanamke aliyefundishwa maana ya ndoa hayuko hivyo,Ndio maana
wanaume wengine hayo wanayasikiaga tu,na kuyaona kwenye TV.
Kwa hiyo wewe Moyo wako hauna nafasi,yaani hisia za Mapenzi hazina nafasi?Sasa umepewa zitumike kwa ajili ya nini?Yaani unatafuta Mke kama unatafuta business partner hivi
or something!
Wakati mwingine mtu unafikiri watu wameshaelimika kwenye mambo fulani fulani kumbe wengine bado!
Jua...
Du siamini! Alisemaje hasa unge tueleza vizuri,mimi si msikilizaji wa hicho kipindi,ila Diva na kipindi cha Michezo wapi na wapi?Ina maana
aliitwa specific kuzungumzia hayo mambo!!! Kama ni hivyo basi hali ni
mbaya!
Ni sisi tu VIHEREHERE,Wakenya hawaoneshi chochote kuhusu sisi,utadhani hatujapakana,hata kama uchumi wao upo juu kuliko sisi,
bado kwa ujumla wananchi wa Kenya ni Maskini,hawana tofauti na maisha ya Watanzania kiasi cha kusema eti hamna cha kuonesha kwa tofauti za Kiuchumi,mara ngapi
tumeona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.