Recent content by kiziru

  1. kiziru

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kufukuzwa kazi tukutane tupeane experience

    Niliwahi kuajiriwa sehemu kama meneja, HR alikuwa hanipendi pia alikuwa anapelekewa maneno ya uzushi kutoka kwa wafanyakazi niliowakuta...HR akaanza kunipa stress ili nisiwe comfortable, ananiambia resign otherwise sisi tutakutimua na huna uwezo kutushinda mahakamani. basi siku ya siku probation...
  2. kiziru

    JamiiForums Tanzania Patrick Mfugale katika umri wa miaka 71 alikuwa anafanya nini ofisi ya umma?

    madaraka matamu aisee
  3. kiziru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ndiyo mara yangu ya kwanza na ya mwisho kutumia vumbi la Kongo

    Nakuja PM Sent using Jamii Forums mobile app
  4. kiziru

    JamiiForums Tanzania Kivuko cha Kivukoni TEMESA

    Haya matangazo wanatangaza wapi wakuu?
  5. kiziru

    JamiiForums Tanzania Tembo waonekana ndani ya viunga vya Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)

    Miaka kadhaa iliyopita, miezi kama hii huwa Tembo wamekuwa wakionekana kwenye viunga vya UDOM.
  6. kiziru

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi

    Kila la kheri.
  7. kiziru

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Elimu yako?
  8. kiziru

    JamiiForums Tanzania Pombe ilichonifanyia: Ndoto zimeyeyuka nahisi ‘nimeukwaa umeme’, nina hofu huenda nisiishuhudie Tanzania ya Viwanda

    Ukimwi upo wajumbe. Kapime afya yako leo. Tujihadhari na starehe ya mda mfupi.
  9. kiziru

    JamiiForums Tanzania Anamtafuta mama muhasibu aliyestaafu kutoka TRA afanye nae kazi

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  10. kiziru

    JamiiForums Tanzania Tender: ICT

    Nahitaji kampuni ya ICT ya KUELEWEKA ifanye projects kadhaa kwenye kampuni flani. Tafadhari wahusika tuwasiliane. Asanteni.
  11. kiziru

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya nyumba au chumba cha kupanga Mwenge, Sinza, M/nyamala na Mbezi

    Nakuja chemba mkuu
  12. kiziru

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya nyumba au chumba cha kupanga Mwenge, Sinza, M/nyamala na Mbezi

    Natafuta mawasiliano ya dalali wa uhakika maeneo ya kinondoni, msaada tafadhari.
  13. kiziru

    JamiiForums Tanzania Kwanini uuzaji wa Kitimoto hufanyika maeneo ya ufichoni?

    Location please?
  14. kiziru

    JamiiForums Tanzania Kijana badilika uaminifu wako ndo mtaji wako

    Unaweza kuwa na ndugu wa karibu wenye nafasi na wasikusaidie. Nimekutana na jamaa hata simfahamu, amenisaidia na naona mwanga sasa katika maisha yangu. Tusichoke kutoa msaada, Mungu wa Mbinguni ambariki sana huyu ndugu.
  15. kiziru

    JamiiForums Tanzania Kijana badilika uaminifu wako ndo mtaji wako

    Asante sana kwa uzi huu juu ya elimu ya UAMINIFU. Pole kwa mkasa mzima. Ila mkuu usichoke kusaidia kwa wale wenye uhitaji.
Back
Top Bottom