Recent content by kizerui

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa polisi

    dogo nenda polisi kwa sasa kikwetekawaweka jamaa mahali kwa pazuri kwa mfano graduate wa governemnt fresh ni tgs d ambayoni 480,000 lakini polisi graduete ni 600,000na kula resheni na posaho mbalimbali kwa ujumla dogonenda ccp utakulakama 850,000 kwamwezi hapo ni resheni pamoja na marurupupu...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Aliye pata barua ya kuitwa kazini tafadhari

    hawa jamaawautumishitherearenot active kwenye kutumahizobarua kwahiyonenda palemakitaba ndioofisi zao zilipo
  3. K

    JamiiForums Tanzania Aliye pata barua ya kuitwa kazini tafadhari

    mkubwa nenda pale makitaba ukachukuwe mwenyewe mimi nimeshaenda ukifika pale wazingue uwaambie your post code is not active, but wamesema ndani ya siku kumi na nne,mimi naenda kuriport alhamisi
  4. K

    JamiiForums Tanzania Jamani Mshahara wa Assistant Lecture ni sh ngapi?

    wadau mi niko specific na mshahara wa ass lecturer pale cbe au hombolo
  5. K

    JamiiForums Tanzania Jamani Mshahara wa Assistant Lecture ni sh ngapi?

    wadau mimi nisaidien nipo specific na mshahara wa ass lecturer pale cbe au hombolo
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwa hili, secretariet ya ajira Tanzania nimewakubali! Hongera sana!

    wadau na mimi nimefanikiwa kupata kazi kupitia utumishi, so nashukuru sana na nitaendelea kutafuta up date za ajira maana kupata kwangu hakumaanishi wana janvi wote wamepata, tuendelee kuomba mungu
  7. K

    JamiiForums Tanzania kuitwa kazini usaili wa August 2012 secretariat ya ajira

    jamani mi namshukuru mungu nimefanikiwa issues ya hombolo
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nilichokiona udom

    matatiz tulia na kuwa na imani ipo siku utafanikiwa so omba mungu naamini we ni muumini wa dini fulani, hata ukimuona hr kama mungu hajataka upate utakosa tu
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nilichokiona udom

    wadau na mungu tusimsau kuna siku watapotea njia
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nilichokiona udom

    kama haumini mimi nilikua hombolo ilikua ni balaa na kwa sasa tunasubiria maumivu, lakin nahisi tutapata, lakini mbona kuna factor nyingi za kushortlist kwa nini wawajaze watanzania sehemu moja hali ya kuwa wengine wanakopa hiyo nauli pamoja na gharama nyingine ni bora ukadhurumiwa kwenye...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kazini coasco

    wadau tutoe majibu sio utani watu wana shida na kazi
  12. K

    JamiiForums Tanzania Usaili coasco madudu kwa wasimamizi

    muache mdau alalamike lakin hata mimi nampa angalizo tabia za kulalamika sana zinamfanya mtu asijitume, kwani hata kama jamaa alichemka hatasema ukweli, watu kama mtoa mada wapo sana lakini siku akipata hata shukuru, kwa upande mwingine tume nao wajirekebishe kama ni kweli, mimi binafsi...
  13. K

    JamiiForums Tanzania ajira mpya utumishi

    mdau ni kweli kazi hizo niliziino zaidi ya wiki mbili au tatu so sijui kama deadline haijafika lasivyo temmbelea PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT - PSRS. you can see something
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tume ya utumishi-hongereni mmekuwa wasikivu tunashukuru (wasailiwa)

    mkubwa hata mimi nimeanza kuwakubari jamaa lakini wanatakiwa waweke matokeo hayo mapema sana ili watu wano kaaa mbali kama wamekosa wasafiri kurudi makwao ili kuwapunguzia gharama za kuishi mahali ponapofanyika usaili. huenda tukafika mbali kama hawa jamaa watajipanga vizuri. tusiwe watu...
Back
Top Bottom