Mshahara wa polisi

Mndengereko

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
7,280
3,345
habari za wana jf hope mmeamka wazima mimi pia tafadhali kwa mtu yeyote amabye anajua mshara wa polisi kwa graduaetes naomba atuambie na sisi wengine tupate kujua,sitaki kujua mshara wa polisi kwa sasbabu za kisiasa bali ni kwa sababau zangu  binafsi please ningependa kujua hata kwa diploma 4m4 4m6 pia sio mabya akama kuna m2 anajua akatuambia mishahara yao na pia pesa ya kujikimu ktkt ya mwezi ni sh ngapi?
 
Peruzi peruzi hapo chini

[url]https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/294654-mshahara-wa-kuanzia-mtu-mwenye-degree-jeshi-la-polisi-2.html
[/URL]

https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/317645-hivi-mshahara-wa-askari-police-kwa-kima-cha-chini-ni-sh-milioni-ngapi-kwa-mwezi.html
 
habari za wana jf hope mmeamka wazima mimi pia tafadhali kwa mtu yeyote amabye anajua mshara wa polisi kwa graduaetes naomba atuambie na sisi wengine tupate kujua,sitaki kujua mshara wa polisi kwa sasbabu za kisiasa bali ni kwa sababau zangu  binafsi please ningependa kujua hata kwa diploma 4m4 4m6 pia sio mabya akama kuna m2 anajua akatuambia mishahara yao na pia pesa ya kujikimu ktkt ya mwezi ni sh ngapi?

bila shaka umechaguliwa kushiriki usaili utakao fanyika tarehe 24-28. Changamkia hiyo kitu usizubae dogo.

Mshahara ni ngoma droo na idara nyingine zinazoajiri watu wengi na idara za Halimashauri. zaidi ya hapo kuna 150,000 katikati ya mwezi
 
dogo nenda polisi kwa sasa kikwetekawaweka jamaa mahali kwa pazuri kwa mfano graduate wa governemnt fresh ni tgs d ambayoni 480,000 lakini polisi graduete ni 600,000na kula resheni na posaho mbalimbali kwa ujumla dogonenda ccp utakulakama 850,000 kwamwezi hapo ni resheni pamoja na marurupupu mengine, mi naondoka kwa sababu sina hobe na upolisi but now unalipa kabisa
 
Umeuliza swala la Mshahara wa polisi ukisema sio interest ya kisiasa , sasa ni interest gani hiyo,
au interest ya kuingia kazini kama polisi? kama ukiingia jeshini kwa interest ya kupata fungu nono kazi
ya jeshi itakushinda. wale wenye tamaa ya pesa kiapo chao kinakuwa feki. ukitaka upate matatizo ndani ya jeshi la polisi weka
tamaa yako ya pesa mbele jeshini halafu wakuchunguze ushtakiwe kijeshi bila jamii nyingine kujua,
usipande vyeo, uwe na digrii yako kwa muda wa miaka 10 kazini bila cheo , nyongeza ya mshahara uisikie kwenye circular tu,
kisha ukate tamaa, uanze kutafuta kazi nyingine, au ule rushwa at your own RISK au ufungwe au uache kazi, au uamue kuchukua bunduki ujitoe uhai. Kwa jina la baba na la mwana na la roho mtakatifu amina.
 
Wewe ni police? Je barua yako ya ajira haijataja ni kiasi gani unapaswa kulipwa? Au kuna police graduate anakupiga danadana tukusaidie kumdhibiti
 
Wewe ni police? Je barua yako ya ajira haijataja ni kiasi gani unapaswa kulipwa? Au kuna police graduate anakupiga danadana tukusaidie kumdhibiti

Watu wanathaminisha maslahi, kama inalipa azae, kama hailipi aangalie maustaarabu mengine!
 
Kama unafanya kazi sehemu tuambia unalipwa tsh ngapi kwa sasa? Kama ufanyi kazi tuambie ungependa kulipwa bei gan?
 
567,000(TGS D) plus posho 150,000

Huu Mshahara kama ni kwa Mwezi tusitegemee Ufanisi wowote wa kazi.Kama Graduate analipwa hivyo nina imani mwenye Elimu ya Diploma atalipwa chini ya 300,000/=.Kwa Mwenye Certificate na Kidato cha Sita ndio Majanga zaidi.Mshahara huu hauwezi kumshawishi Polisi akatae Rushwa kutoka kwa Wauza Madawa ya Kulevya,Majangili,Majambazi na Wahujumu Uchumi wengine.
 
Jamani mbona huo mshahara ni mwingi sana? Kwani police ana kazi gani ngumu? Kwenye mabenk graduate analipwa 500,000/600,000 before makato hakuna cha posho wala ndugu yake posho na kazi ni masaa 9 from saa mbili mpaka saa kumi na moja jioni.
 
1. Upolisi sio ajira kama kufanya kazi kwenye NGO.

2. Kama unataka kufanya kazi Polisi bila kupenda kufanya kazi hiyo hata ungelipwa milioni kamwe hutofurahia maisha yako yote.

3. Mishahara ya majeshi yote ni siri so ninaweza kukuthibitishia kuwa WOTE walioandika hapo juu wamekudanganya.

4. Mishahara ya karibu sekta zote za serikali mi considerably midogo ukilinganisha na private sectors.

5. Jichunguze tena kwann unataka kufanya kazi Polisi..motive behind (mshahara au kulitumikia taifa)

6. Siku zote hata ungefanya kazi Price water hse coopers ama KPMG usifurahie mshahara wa kuajiriwa...try and make your own money. That way you will enjoy what you are doing and love your life.

7. The best place to work, in the world, na ukalipwa mshahara mkubwa kuliko sehemu nyingine yeyote ni kichwani kwako. (Wazungu wanaita self employment). Una nini kichwani kwako? Ideas? ...hapo ndipo palipolala utajiri mwingi.

8. Someone once said, "the richest place in the world is 'makaburini'" ..because that's where million dollar ideas are burried.

9. Nikutakie kila la heri katika kuanza maisha (nasema hivyo kwakuwa najua siku hizi polisi wanaajiri fresh graduates). Ukitaka pesa nyingi hazipo polisi..hazipo KPMG...but ukitaka kuwa Polisi kwa sababu unapenda kuwatumikia wananchi basi nina uhakika Afande Semiono (mkuu wa ajira) atakupokea kwa mikono miwili.

NB: Tanzania na rushwa vimetokana na watu wanaofanya kazi alimradi wapate kazi...si kwa sababu wanapenda kufanya wanachokifanya. #tafakari #chukuaHatua

PM moderator, Mentor.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom