Aliye pata barua ya kuitwa kazini tafadhari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aliye pata barua ya kuitwa kazini tafadhari

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by ba nso, Sep 16, 2012.

 1. b

  ba nso JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 639
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  Hallow wadau, kama kuna mtu aliyepata barua ya kuitwa kazini kutoka tume naomba kujua ni lini tarehe ya kuripoti Hombolo.
   
 2. k

  kizerui Member

  #2
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkubwa nenda pale makitaba ukachukuwe mwenyewe mimi nimeshaenda ukifika pale wazingue uwaambie your post code is not active, but wamesema ndani ya siku kumi na nne,mimi naenda kuriport alhamisi
   
 3. k

  kizerui Member

  #3
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hawa jamaawautumishitherearenot active kwenye kutumahizobarua kwahiyonenda palemakitaba ndioofisi zao zilipo
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Bila shaka button ya space bar ya computer yako ni mbovu.
   
 5. m

  mawee Member

  #5
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Fata mwemyw pale utumish mana hawatumi wala kukupgia cm wanakuacha ucheze na internet
   
Loading...