Kuitwa kazini coasco

TUITOR

Member
Aug 7, 2011
12
1
Kwa wale waliofanya usaili na hawa jamaa wa COASCO, katika nafasi za assistant Auditor na Auditors II Tarehe 16/8/2012 pale Dodoma, vip majibu yao wakuu? Walishawaita watu kazini au bado tuendelee kusikilizia! Mwenye taarifa tafadhari atujuze!
 
piga simu secretariat ya ajira waliokufanyia usahili watakujibu.ila sisi tutakudanganya tu!
 
Ni vema kama mtu ameuliza kitu jf na hauna info nacho ucreply mana anataka kupata taarifa na hii n forum ya nafas za kaz na tenda sio ya utani. tufunguke wanajf.
 
Usiwe na hamu ya kuitwa na hao jamaa, we endelea na mishe zingine kama zipo, endelea kufanya application kwingine usichoke mkuu, MUNGU atasaidia. Mwaka 2009 walitubakisha top 10 tunaojuana, na mpaka leo kimya hakuna aliyeitwa.
 
yuko pale mmoja naitwa nyange dodoma lakin ukimuona anakuchekea tu kumbe moyoni duuu
 
Back
Top Bottom