Usaili coasco madudu kwa wasimamizi

mabwepand

Member
Jul 16, 2012
86
22
Kwanza nipende kuchukua fursa hii kuwa mm ni mmoja wapo walioshiriki kufanya written interview na oral interview,kiukweli mtihani ulikuwa wa kawaida ila ilikuja julikana kuwa kuna watu wao tayari walikuwa na number zao pamoja na majina yao hivyo pale ilikuwa ni usanii mtupu tena mkubwa kabisa!Naomba sana secretariet ya ajira iwe na independet watu wa kusimamia nafasi hizo wakati wa usaili,Tanzania ni kujuana kwingi ila ki ukweli Coasco hamkutufanyia sawa watu tumesafiri kutumia gharama kubwa kumbe tayari mna majina yenu tayari Big up wenye nchii hii.
 
sasa kama unalalamika tu hapa jf sisi tutakusaidiaje?
cha msingi kama unamalalamiko nenda ofisini kwao ukajieleze kuongea ongea pembeni ni tabia za k_ ke!alafu ni unafiki tu huo
kama ukupata hiyo nafasi wewe!kunawengine walipata sio lazima ww ndo upate!hoja yako kubwa nikutaka wana jf wajenge chuki na tume ajira!
na wasilisha wana jf
 
muache mdau alalamike lakin hata mimi nampa angalizo tabia za kulalamika sana zinamfanya mtu asijitume, kwani hata kama jamaa alichemka hatasema ukweli, watu kama mtoa mada wapo sana lakini siku akipata hata shukuru, kwa upande mwingine tume nao wajirekebishe kama ni kweli, mimi binafsi nimeshafanya nao 3 interview moja nimepigwa chini 2 nasubiria, nahisi ile moja nilifanya vizuri lakini huenda kuna mtu alifanya vizuri zaid yangu
 
Back
Top Bottom