Recent content by kizaytor

  1. kizaytor

    Uzi maalum kwaajili ya wachimbaji wa dhahabu

    [emoji16][emoji16][emoji16] Hii ni chunya moja
  2. kizaytor

    Simulizi: Milango ya mafanikio

    Daah..! Huyu mzee mgaya ni kama profesa wa juakali aisee
  3. kizaytor

    Simulizi: Milango ya mafanikio

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa jinsi anavyomuoga sidhan kama ataweza.! Ila namuona Tausi akibeba mimba ya Sam
  4. kizaytor

    Simulizi: Milango ya mafanikio

    Halafu sasa huyu mwalimu ndo utakuja kukuta atampenda samson kuliko wale wengine wote..! Love and emotions ni vitu vya ajabu sana aisee
  5. kizaytor

    Simulizi: Milango ya mafanikio

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] me kipind icho mama mzazi alinikuta na kabint ndani afu mm sikupigwa akawa anapigwa yule binti[emoji16][emoji16] kisa alinizid umri[emoji16][emoji16]
  6. kizaytor

    Simulizi: Milango ya mafanikio

    Balehe pia ilimtuma kufanya vitu out of his own control..! Although focus yake kwenye education ilibaki kuwa strong..! Wote tumepitia hii foolish age na ni wachache sana walipita salama kabisa bila mikasa kama hii
  7. kizaytor

    Simulizi: Milango ya mafanikio

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unakumbuka namna ulivowasumbua mabeki tatu[emoji16][emoji16]
  8. kizaytor

    Simulizi: Milango ya mafanikio

    Foolish age +temptations around him ndo znamfanya akose control over sexual emotions..!
  9. kizaytor

    Natafuta Shamba la Ekari 1 Mapinga/Kerege

    Hata kiwanja tu huwezi pata kwa pesa uliyonayo..! So be carefully na pesa yako
  10. kizaytor

    Plot4Sale Viwanja Petrol Station na complex vinauzwa kigamboni-Mbutu

    Kigamboni-mbutu kabla hujafika dege beach Price: 35000 per SQM
  11. kizaytor

    Plot4Sale Viwanja Petrol Station na complex vinauzwa kigamboni-Mbutu

    Petrol station Plot No: 323 Complex Plot No: 324 Location: kigamboni-mbutu
  12. kizaytor

    Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Magugu hayapo ivo mkuu..! Nayafahamu sana na nimeyafanyia several research from lake victoria and other rivers in Africa
  13. kizaytor

    Prof Shivji: Barua kwa Rais; Ardhi mali ya nani?

    NB:kisheria pale mwananchi anapotokea na kuliendeleza eneo lolote kwa kilimo, ufugaji au activity yoyote kwa zaidi ya miaka 10 basi eneo hilo litatambulika kama ni mali yake kwa asilimia 60-70 pale ambapo atatokea mtu na document halali basi hana budi kuishi katika hizo sheria hapo. So kimsimgi...
  14. kizaytor

    Prof Shivji: Barua kwa Rais; Ardhi mali ya nani?

    Umetoa somo zuri sana professor. From my little knowledge kwenye sekta nzima ya Ardhi ni kuwa Raisi ni msimamizi mkuu wa Ardhi but sio mmiliki wa Ardhi nzima ya nchi yetu na hana mamlaka ya kuchukua ardhi kwa mwananchi pasipo kufuata sheria zote za wamiliki wa ardhi katika eneo husika. Na...
  15. kizaytor

    Kwanini gari aina ya Nissan X-trial used zinauzwa cheep sana?

    Yanasumbua sana. Nimelipack tuu na nmenunua last year
Back
Top Bottom