mijitu mingine migumu sana kuelewa mtoa post katafsiri kinadharia kabisa walimu kutopangiwa vituo maana yake haijawaajiri na haina fedha za kuwalipa, mishahara na fedha ya kuanzia, kuhusu wazabuni wa serikali ni kweli hatujalipwa ndo maana miradi mingi imestop, hazina iko empty fedha nyingi...
kuna msemo unasema cheap popularity has got a price, muda wote zitto amekuwa akihubiri kuwa ana majina ya watanzania waliohifadhi mabilioni uswisi na mara ya mwisho aliwaahidi watanzania kuwa atawataja katika kikao cha bunge kinachoendelea sasa, baada ya mwanasheria mkuu kumbana sana apeleke...
aje aone moto utavyomuwakia, mbeya tunajitambua, hatupapatiki na wanasiasa wanaoenda kula viapo kwa waganga, alisema ana majina ya watu wenye mabilioni uswisi, werema kambana akakiri tena kwa kiapo hana hayo majina, CHEAP POPURALITY HAS GOT A PRICE
leo kamati ya wizara ya nishati na madini, tujadili hotuba hizo ukichukulia umeme unaelekea kupanda, sio huu ----- ambao upande mmoja haujahojiwa kukiri au kukataa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.