Recent content by kiye

  1. kiye

    Nahitaji sehemu salama ya kuweka pesa kwa kupata riba inayoendana na thamani ya pesa

    Kaka habari, jamaa alikupa ufafanuzi wowote? Natamani kujua uliyo elekezwa.
  2. kiye

    Mwanamke: Usafi wa 'maakuli' muhimu, sio vizuri kukutana na mtu ananuka sehemu za siri

    Lakini haya yanawatokea wanawake tunaoishi nao, either wapenzi ama wake
  3. kiye

    Mwanamke: Usafi wa 'maakuli' muhimu, sio vizuri kukutana na mtu ananuka sehemu za siri

    Habari wana JF, Nawaomba mnijulishe namna kusafisha na kutoa harufu ya ukeni hasa baada ya pale K inapopata umajimaji ama after sex inakua ina smell bad. I love my girl sitaki nimuache kwa tatizo ambalo naamini mtanipa njia ya kulitatua. Toa ushauri kama hujui subiri wanaojua na wewe wakusaidie.
  4. kiye

    Mpangaji ukinunua Mita ya LUKU, siku ukitaka kuhama unaondoka nayo?

    Je tanesco watoa bure au huwa wanauza hizo luku?
  5. kiye

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Kura yangu nitawapa CCM ila CCM B. Wale wa A mmechoka mnaachoona ni upombavu na ulofa tu. Tutakuwa malofa zaid tukiwaacha muendelee nyie MAFISIEM
  6. kiye

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Walimu wanaotaka kuja simiyu tuwasiliane, njoo PM
  7. kiye

    Kauli za Maafisa Elimu Simiyu zinakatisha tamaa Walimu

    Ko mtu akipangiwa kijijini ina maanisha ana adhibiwa hata bila kosa
  8. kiye

    Kauli za Maafisa Elimu Simiyu zinakatisha tamaa Walimu

    Katika mkoa wa Simiyu kuna ziara ya maafisa elimu katika shule za sekondari, moja ya kauli wanazotoa juu ya walimu ni kwamba 1. Wana wasiwasi na elimu za vyuo vikuu vinavotoa bachela ya elimu 2. Mwalimu akitaka kuadhibiwa hupelekwa shule zisizo na huduma muhimu ili ajifunze adabu 3. Kama...
  9. kiye

    TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    Simiyu, shynyanga hakuna umeme pia
  10. kiye

    Shule bora za Serikali, enzi hizo

    .......Kwiro ipo kwenye kumi chafu mwaka huu
Back
Top Bottom