Recent content by Kiyawi

  1. K

    Waislam hawakushiriki kwenye biashara ya utumwa na vita kuu za dunia

    Utumwa kati ya Africa/East Africa ulifanywa na Waarabu tangu 650 A.D. mpaka 1963 A.D. kwani utumwa Saudi Arabia ulifanyika mpaka 1963 A.D. cha kusikitisha watumwa weusi kule Middle East (Uarabuni) waliopelekwa mamilioni kwa mamilioni mpaka leo hakuna visasi vyao, walihasiwa! Lakini waliopelekwa...
  2. K

    Utawala wa Samia ni Fundisho tosha kwa Nchi Namna ya kuchagua Makamu wa Rais

    Ni bahati kubwa mno kumpata Rais Samia kuwa kiongozi wa nchi hii! Rais kama huyu alipatika 1985 walipompata mzee Ruksa! Unajua maana ya Mzee Ruksa? If not soma vitabu vya historia.
  3. K

    Waarabu waliapa kurudi Zanzibar, Je yanaoendelea ni mapinduzi ya Afrabia?

    Sultan wa mwisho za Zenj alikimbilia Uingereza kama mkimbizi na yuko hai ana umri sasa wa miaka circa 94 na juzi juzi alielekea Oman United Arab Emirates!
  4. K

    TPA: Serikali haijaipa DP World Kandarasi ya undeshaji Bandari ya Dar es Salaam kwa Miaka 100

    Weka rekodi zako sawa; Serikali haijaipa Dubai P World bandari ya Dsm bali ni bandari zote za Tanzania Bara yaani za pamoja na Bandari ya Lake Victoria, Nyasa/Malawi, Tanganyika na kadhalika!!!! Kilichosomwa Bungeni ni sawa na MSINGI WAKE yaani KATIBA ya makubaliano! Vipengele vitashuhulikiwa...
  5. K

    Kwanini mikoa iliyotawaliwa na Mwarabu watu wake ni wavivu balaa?

    Ni kweli Waarabu alikuwepo pwani ya Tanzania tangu karne ya 7 (650 A. D.) walieneza dini tu tena kwenye nyumba za makuti hasa mjini na vijijini na Wazungu tangu karne ya 19 (1868 A. D.) Waarabu hawakujenga Maskuli, hawakujenga hospitali wala barabara! Wazungu walijenga shule, hospitali...
  6. K

    Warusi Wazidi Kuonja Machungu ya Uvamizi wa Putin Nchini Ukraine

    Umesema ukweli, Putin invaded and have the intention of turning the entire eastern regions of Ukraine part of Russia, bluntly annexing a sovereign and independent nation of Ukraine!! Hii haiji na haikubaliki katika karne ya 21! Putin alidhani dunia ya sasa ni ile ya karne za 14 15 16 17 na...
  7. K

    Pendekezo: Barabara ya Kimara-Kibaha iitwe Magufuli Highway

    Kwanini isiitwe Dr Samia S H highway?!
  8. K

    Kama Marekani ni nchi ya Kishetani ni kwanini mamilioni ya watu duniani hutamani kuishi Marekani?

    Marekani ni nchi nzuri saaana, ndo maana inatupiwa mawe, mfano wa mti wenye matunda matamu hutupiwa mawe sana! Pili Marekani ni nchi yenye fursa(opportunities) lukuki, ndo maana binadamu kutoka pande zote za dunia hukimbilia huko!!nchi dhalimu ni Afghanistan, Iran, Russia(superpower inadiriki...
  9. K

    Lema asema hakubali mtu kuuawa kwa kuwa ni shoga

    Tatizo ni kwamba watu wengi hawaelewi ni kitu gani kinamfanya binadamu kutenda dhambi(mfano uzinzi, uasharati etc), dini zetu zinafafanua vema na jinsi ya kujinasua huko dini zinaeleza na jinsi ya kutubu! Sasa shoga na msagaji wana kitu kiitwacho “spirit Man, Spirit Woman” tiba yake ipo na siyo...
  10. K

    Urusi kuifutia Afrika madeni ya zaidi ya Dola za Kimarekani bilioni 20, Afrika itegemee neema zaidi kutoka kwa mahasimu wa Urusi

    Kule kufutia Afrika madeni Je haitakua ni hongo(bribe) ili Afrika ikubali na kutambua kuwa uvamizi wake nchi huru ya Ukraine na kumega majimbo ya Ukraine kuwa sehemu ya Russia ni halali? Rais wa zamani wa Uganda alipovamia jimbo la Kagera na kutamba kuwa ni sehemu ya Uganda, Baba wa Taifa Mwl...
  11. K

    Njia pekee ya kuleta amani Kenya ni ku-deal na Odinga bila kudekezwa

    Dawa ni kumficha Mhe Raila, yaani kuwekwa kizuizini, hakuna dawa ya aina njingine. Mara tano anakosa urais na bado anavuruga nchi!!
  12. K

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Russia ikiongozwa na Putin wamevamia nchi huru ya Ukraine na kuteka majimbo yake manne (a sovereign and independent nation of Ukraine)! Russia ni superpower anavamia nchi ya tatu(third world nation)! Ni kana kwamba yupo kwenye karne za 14 - 18 kasahau hii ni karne ya 21! Rais Iddi Amin wa Uganda...
  13. K

    Putin alalamika vifaru vya Leopard vya Ujerumani kwa Ukraine, akumbushia Wanazi

    Putin kachanganyikiwa, kavamia nchi huru ya Ukraine na kuteka majimbo ya Luhansk, Donetsk, Kherson na kanyakua jimbo/kisiwa cha Crimea ambaye ni sehemu ya Ukraine! Ni aibu superpower kama Russia kuteka nchi nyingine kimabavu! Iddi Amin aliyekuwa Rais wa Uganda aliteka mkoa wa Kagera Tz na nduli...
  14. K

    Rais Samia nisikilize, umetegewa mtego, wanasubiri uuingie

    Mjomba hapo unatoa ushauri ambao ni wa kufanya Rais achukiwe na wananchi. Tozo za miamala ya simu haziko sawa na wala siyo sahihi. Mfano wazee wa miaka 60 kwenda juu mpaka miaka 120 wanatozwa kodi wakati wajukuu na vitukuu huwatumia vijisenti vya kujikimu vijijini! Babu ana miaka 90 wanatozwa...
  15. K

    Hatimaye Wazee wa Tanzania waanza kuelewa Umuhimu wa Katiba mpya

    People lack vision! Viongozi kadhaa hawana maono! Pili, we have to learn to listen with keen interest God’s servants ( Masheikh Mapadre, Mapastor, Maaskofu, Manabii) admonitions - Deuteronomy 18: verses 18-22), wazee wetu Ibrahim/Abraham, Musa/Moses ni mifano. Yaonekana tuna Kiongozi ambaye...
Back
Top Bottom