Recent content by kiwenini

  1. K

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mawazo yako manzuri sana.
  2. K

    Tanzania kinara katika udahili wa wanafunzi elimu ya awali barani Afrika

    IMEELEZWA kuwa Tanzania ni kinara katika suala la udahili wa wanafunzi katika elimu ya awali barani Afrika na hivyo kuifanya kupiga kubwa katika utekelezaji wa maelengo ya maendeleo endelevu (SDGs). Mafanikio hayo yanatokana na serikali kutoa elimu bure bila malipo ambao umechangia kuongeza...
  3. K

    Wananchi 144 Jijini Dodoma Wakabidhiwa Hatimiliki Kwa Masharti Nafuu.

    Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma. Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi amekabidhi hati ya viwanja kwa wananchi 144 wa Kata ya Tambukareli ambao maeneo yao yalitwaliwa na Serikali. Kunambi amekabidhi hati hizo leo Julai 31,2019 kwa wananchi hao ambao wamekuwa wakihangaika takriban...
  4. K

    Huwa unafanyaje kurudisha uhusiano mzuri na baba yako, kipindi nguvu ya chuki inapokuwa kubwa zaidi?

    Pole sana u mvumilivu sana!kwa ushauri wangu mdogo, kwanza ulikosea sana kukalabati nyumbani kwenu pesa hiyo ungejenga kwako,kwa kuwa una viwanja 6 unza 3 ujenge kwako na hamisha mama yako na wandogo zako pamoja na mke wako muishi pamoja,achana na mzee wako kata mawasiliano. na mshukuru MUNGU...
  5. K

    USHAURI WA DAKTARI: Chumvi ni hatari, je unapaswa kula kiasi gani?

    USHAURI WA DAKTARI: Chumvi ni hatari, je unapaswa kula kiasi gani?
  6. K

    Wanaotumia simu, kompyuta wapewa tahadhari

    Mkurugenzi wa kliniki ya macho ya Karibu Eye Center, Abdillah Dada amezungumzia athari zinazoweza kujitokeza kwa watumiaji wa vifaa vya mawasiliano ikiwamo kompyuta, simu, tableti.
  7. K

    TOP STORIES TAKUKURU imemkamata Mganga Mkuu na Watumishi 7 kisa mradi wa Milioni 500

    Taasisi Kuzuia na Kupambana na Rushwa Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma inawashikilia Watumishi saba wa Wilaya ya Kakonko akiwemo Mganga Mkuu wa Wilaya hiyo kwa tuhuma za ubadhilifu katika ujenzi wa Kituo cha Afya Gwanumbu ambapo Zaidi ya Milioni Tisini hazionekani matumizi yake. Hayo yamebainishwa...
  8. K

    Wajasiriamali watakiwa kuuza bidhaa nje ya nchi

    Shirika la viwango Tanzania (TBS),limewataka wazalishaji wenye bidhaa zilizokidhi matakwa, ya viwango na kukabidhiwa leseni za kutumia alama ya ubora,kuhakikisha wanatumia fursa hiyo kupanua masoko yao ikiwa ni pamoja na kuuza bidhaa zao nje ya nchi.
  9. K

    Serikali yasema ifikapo Machi 31 wakulima wote watakuwa wamelipwa pesa zao za korosho

    Serikali imewahakikishia wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya kilimo,mifungo na maji kuwa kufikia tarehe 31 machi 2019, wakulima wote watakuwa wamelipwa fedha zao kwani uhakiki umekamilika kwa kiasi kikubwa.
  10. K

    Waziri Mkuu: Wakandarasi Acheni Kulipua Kazi Zingatieni Viwango

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakandarasi wanaojenga majengo mbalimbali nchini yakiwemo na ya Serikali wahakikishe wanazingatia viwango na waache kulipua kazi. Hata hivyo, Waziri Mkuu amewataka wakandarasi wawafundishe kazi mafundi wasaidizi wanaowatumia katika ujenzi wa miradi malimbali...
  11. K

    Kamati ya Kudumu ya Bunge Yaipongeza Wizara ya Madini

    Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini Mhe. Mariam Ditopile Mzuzuri amesema kamati yake inaipongeza na itaendelea kuiunga mkono Wizara ya Madini kwa kazi nzuri wanayoifanya. Akiongea na waandishi wa habari mbele ya kamati yake Machi 13, 2019 mjini songea baada ya...
Back
Top Bottom