Recent content by kiweluboaz

  1. kiweluboaz

    JamiiForums Tanzania TCRA kwa kuendelea kuwadekeza Clouds kuna siku watatuwekea Ngedere kutangaza taarifa zao za Habari!

    Sijawahi kuona media yenye taarifa mbovu kama Clouds Media!! Nadhan wajipange. Hongera sana ITV tunawaelewa sana kwenye taarifa zenu
  2. kiweluboaz

    JamiiForums Tanzania Sekondari kongwe za umma kurejeshewa makali yake

    Kama vile naona Tanga Tech (tanga school) yetu ya enzi hizo,, za mkangasi... Nihatari
  3. kiweluboaz

    JamiiForums Tanzania John Mnyika: Magufuli Kumteua Muhongo, ni dharau sana kwa Bunge na ni fedheha kwake binafsi

    Jamaa una akili sana!! Asante sana kwa majibu mazuri nadhani watanzania wenye akili watakuelewa.
  4. kiweluboaz

    JamiiForums Tanzania Maunda Zorro we miss you

    Ni kweli kabisa maunda yuko vizuri sana kwenye kila Idara ila kuna mwingine anajulikana kama MAUA SAMA yule binti akikaza vizur, atatisha sana!!
  5. kiweluboaz

    JamiiForums Tanzania Nyomi la Usaili wa Nafasi 40 TRA

    Duuh
  6. kiweluboaz

    JamiiForums Tanzania Malipo ni hapahapa duniani

    Mahusiano ya muda mrefu sio mazuri, miaka 2 inatosha sana zaidi ya hapo nishida
  7. kiweluboaz

    JamiiForums Tanzania Joto kali Dar laibua mazito

    Joto limeongezeka kiasi kwamba kwenye daladala duuh nishida!! Watu wanajazana harufu kali dah sijui kama itaongezeka hali itaendelea kuwaje
  8. kiweluboaz

    JamiiForums Tanzania Nauza laptop Toshiba

    56gb??
  9. kiweluboaz

    JamiiForums Tanzania Nilimsomesha mpenzi wangu na leo kaniacha kwenye mataa!

    Pole sana kaka kwa kusimamia majukumu Ya wazazi wake!!
  10. kiweluboaz

    JamiiForums Tanzania Taarifa za Kozi ya Computer Science

    Iko poa sana ila cheza na code kwa sana ishu za kutafuta gpa sio matter sana, matter nikujua vitu,!!! Pia cheza na networking, or graphics itakusaidia sana
  11. kiweluboaz

    JamiiForums Tanzania Nimewakubali viongozi wa UKAWA! Kwa ujanja huu wanastahili pongezi

    Ukawa ndio mkombozi wa watanzania
Back
Top Bottom