Recent content by Kiwa

  1. Kiwa

    JamiiForums Tanzania BAD NEWS: Mwandishi Finnigan Simbeye wa The Guardian aokotwa akiwa hajitambui, amepigwa vibaya jijini Dar

    Utasikia "kajipiga mwenyewe kutafuta kiki"
  2. Kiwa

    JamiiForums Tanzania Askofu Isaac Amani: Matukio ya Kutoweka kwa watu na Mauwaji ya Kikatili Nchini ni Ishara Mbaya Sana kwa Taifa

    Shehe wa mkoa wa Daslam atamjibu muda sio mrefu.
  3. Kiwa

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

    Nasubiri kuona katuni za jamaa akitoka huko selo. Sidhani kama atatoka kipanya,anaweza kutoka kimjusi
  4. Kiwa

    JamiiForums Tanzania Mambosasa: Kilichopelekea mwanafunzi wa UDSM akamatwe ni kusambaza uzushi mtandaoni

    Tatizo jina la hostel. Zingekuwa za mabibo wala kusingekuwa na shida.
  5. Kiwa

    JamiiForums Tanzania Mugabe Agomea Mazungumzo Ya Kuachia Madaraka

    Mugabe kabakiza nguvu ya kukatia gogo tu. Mzee akapumzike sasa
  6. Kiwa

    JamiiForums Tanzania RC Paul Makonda zingatia kanuni za utumishi wa umma uwe mfano kwenye jamii

    Mashallah
  7. Kiwa

    JamiiForums Tanzania Kurugenzi ya Fedha ya Acacia yasema haina kiasi cha dola milioni 300 za kuilipa Tanzania

    Hali ya mgonjwa imebadilika ghafla. Karudishwa chumba cha wagonjwa mahututi. Acacia Mungu anawaona
  8. Kiwa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilichokiona kwenye simu ya mdogo wangu wa kike! So sad!

    Kusikia chuma mboga mawazo yangu yamehama,ngoja yakirudi ntatoa ushauri Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
  9. Kiwa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekuta hiki kitu kwenye sim ya mama watoto.nifanyeje?

    Kwani tamu kweli au kamsingizia?
  10. Kiwa

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rich gang members wamwaga mamilioni ya pesa kaburini kwa Ivandon

    Only in Africa
  11. Kiwa

    JamiiForums Tanzania Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

    Mkuu naomba uniongezamo humo, siwezi pitwa na hii kitu, ni zaidi ya movie
  12. Kiwa

    JamiiForums Tanzania Hata yale makontena tuliyozuia bandarini tutawalipa ACACIA tu, huu ni ukweli mchungu ila ni ukweli

    Tutapata fidia yao kutoka kwenye makosa ya barabarani usihofu. Hata ukicheka tu ukiwa unaendesha faini yake 75,600/= caaash.
  13. Kiwa

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo awajibu wanauliza pesa ya rambirambi adai hayumbishwi la msingi tumewazika na wanatibiw

    Hawa wanajua kusoma na kuandika. Kuhesabu haipo kwenye vigezo vyao.
  14. Kiwa

    JamiiForums Tanzania Baada ya kusambaratishwa Nape, Bashite hana mpinzani ndani ya CCM kuurithi Urais 2025

    Kupata vichekesho kama hivi tuma neno "KOLOMIJE " kwenda namba 15531.
  15. Kiwa

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume: How lack of checks and balances in CCM affects Tanzania

    Mwambie na makame mbarawa akome kufuatilia mipango ya miundombinu ya tanzania bara maana sio mambo ya muungano. Akome kabisa,atuachie wizara yetu.
Back
Top Bottom