Recent content by kivogo

  1. K

    JamiiForums Tanzania wanaotarajia kuanza kidato cha kwanza.

    wadau naomba mnijuze,ni lini tutatangaziwa shule wanazoenda watoto wetu wanaotarajia kuanza sekondari?mtoto wangu amepata b masomo yote,na ana avarege b,je hiyo itamuwezesha kupata shule nzuri?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

    inakuwaje kwenye chama cha demokrasia iwe nongwa mtu kudhani kunahitajika mabadiliko ya uongozi kupitia uchaguzi?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

    uhafidhina wa madaraka utaua vyama...hamna kitu hapo ni vita ya kuwania madaraka ndani ya chama.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    yaleyaleeee.........
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ukinunua Kifurushi cha tigo usiache salio kwenye simu

    Tigo oneni haya.mmenitumia sms eti sms zangu zimeisha wakati nina kifurushi xtreme siku saba.huwa sipendi kuita watu wezi ila kwa haya tigo mnatufukuza.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Zuzu na Watoto

    Kinaweza kuwa cha zamani kwako.kwa wengine kikawa kipya,we soma ukiona cha zamani we lete kipya.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hahahahaha Jamaa katisha huku,hebu na nyie chekeni

    kwani wazungu ndio nini?
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania kumgegeda shemeji ni sawa? wadau nisaidieni

    Kuna siku utatuuliza kama ufunike nyeti zako au uache wazi.
  9. K

    JamiiForums Tanzania mtazamo tu

    Wazaramo, wizara ya habari.wafipa tiba mbadala.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Amekufa baada ya kupigwa na polisi wa Kilwa road..!!

    Polisi kuua si vyema,lakini tuwe waadilifu.hivi uwashushe watu wanaotekeleza kazi zao kwenye nguzo kwa manati,waje polisi uwapige visu.halafu wakuchukue kama bi harusi?Polisi nao ni binadamu.
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania kweli mapenzi uchafu, na udhia............

    Duh......ndoa zingine mashaka.ndio maana waliopo ndani wanatamani kutoka wakati waliopo nje wanataka kuingia.pole dadaaa .
Back
Top Bottom