mtazamo tu

mtazamo tu

duu ingekuwa manoma sanaaahv ingekuwaje kama wizara zingetolewa kulingana na makabila
mfano:
wakurya = ulinzi
wachaga = fedha na uchumi
wamasai = ufugaji
wakerewe = uvuvi
hebu tupia na yako nione...![/QUOTE]
 
Wasukuma=wizara ya uchawi
Hawa ndo watu pekee wanaweza kumudu wizara yoyote, Ulinzi-Sungusungu ilianzia kule, Kilimo, Uvuvi na Mifugo-hapa sina sababu ya kuelezea, Madini-kila mtu anajua wachimbaji wadogo ndo walikoanzia, Biashara na Viwanda-Hawa wamefanya barter trade na ndugu zao Walongo siku nyingi sana, pia hata viwanda vidogovidogo kama kufua vyuma ndo vilianzia huko, Utamaduni na michezo-Hapa ukoo wa Mwanamalundi unahusika.
 
Back
Top Bottom