Recent content by kivilu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Zi wapi laana za Gwajima kwa Makonda?

    Hahahaa na hili la kuteka na kuficha kisha kujitangazia muda wakuatoa waliopotea wewe unaona ni kawaida eeti....huu ndio mwanzo wakuchanganyikiwa na kuweweseka just wait u wl see
  2. K

    JamiiForums Tanzania Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"

    Aisee ur right, Diamond z a qualified idiot!!akae tuu kimya maana zamu yake bado...na lait kama watu wote wangekua na mawazo ya kipuuz kama yake Tz ingekua bado kolon la muingereza na south isingekua huru...tatizo mlimpeleka twishen ya kiingereza tuu mkasahau mambo ya msing...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ray, Wolper Wamvaa wema, kisa Roma

    Wema hana mamlaka yeyote yakukufanya uwaze na kutenda anayotaka yeye...hayo ni maon yake na wewe toa yako..
  4. K

    JamiiForums Tanzania UTATA wa Magazeti ya Mtanzania na Habari leo, juu ya Elimu ya bure Tanzania, Je upi Mtazamo wako?

    [emoji23][emoji23][emoji23]siku hiz kabla yakusoma habar lazima ujiulize kwanza imeandikwa na nan na ipo gazet gan...la sivyo unaingia chaka!!
  5. K

    JamiiForums Tanzania UTATA wa Magazeti ya Mtanzania na Habari leo, juu ya Elimu ya bure Tanzania, Je upi Mtazamo wako?

    [emoji23][emoji23][emoji23]siku hiz kabla yakusoma habar lazima ujiulize kwanza imeandikwa na nan na ipo gazet gan...la sivyo unaingia chaka!!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Bi. Salma Kikwete kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Huyu mama nae anakubalije this demotion... Apumzike na mumewe, au haelewi maana ya kustaafu!!!?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Joseph K. Musukuma(Mb): Makonda awekwe ndani aseme anatoa wapi pesa ya kusafiri USA, UK na Dubai

    Huyu aliyezua hii hoja usidhan amekurupuka kama wewe ulivyokurupuka kujibu huku ukiwa hujui makonda anamiliki miradi gani mingine....usipende kujiliwaza kwakuotea
  8. K

    JamiiForums Tanzania Joseph K. Musukuma(Mb): Makonda awekwe ndani aseme anatoa wapi pesa ya kusafiri USA, UK na Dubai

    Anaemsifia huyu mpiga debe ujue ni hayawani mwenzake....RC wa mwendokasi utafikir anafanya kazi kampuni ya matangazo....
  9. K

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Miradi iliyotegemea mikopo toka nje asilimia 76℅ni hewa!

    Yaan hili neno hewa mm silipendi...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake wasiokuwa na magari ni wachafu

    Hahahaaa... Polen sana akina mama japo mtoto ni Mtoto ila hapa mmezaa kituko....
  11. K

    JamiiForums Tanzania Dk. Possi: Nimejiuzulu

    Hahahaa....utawala wa mwendokasi!!
  12. K

    JamiiForums Tanzania Dk. Possi: Nimejiuzulu

    Noo ameteua wanaume sita ila mmoja kajiuzuru....achen kufagilia ujinga!!inamaana yy alikua hajui katiba inamruhusu kufanya nn, na kwann asiulize wale maprofesa na madactar wa sheria waliomzunguruka ikulu au alijua uongoza nchi nisawa nakuongoza familia....fyuuu
  13. K

    JamiiForums Tanzania DAR: Wenyeviti wa Serikali za Mitaa wakubali kurudisha mihuri, wakimbilia mahakamani

    Kumekucha.....huu mchezo hauhitaji hasira. Taratibu hata misukule watapokea uponyaji...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa na Upendo Peneza, wakamatwa na Polisi Geita na kuachiwa

    Aisee lazima angedhurika...maana waliomchukua wangechafua hali ya hewa, lazima mabomu yangehusika....na mida hii tungeambiwa alikua anafanya maandamano...hii ndio tz ya Leo..
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mhe. Rais, Watanzania Tunakuunga Mkono, Yataje Magazeti Chochezi,Tutayasusia Yajifie Natural Death!.

    Mimi nashangaa tuu au labda sijui maana yakusema ukweli!!maana kila siku mtukufu anajisifu kua yeye ni msema kwel na msema ukweli ni mpenz wa Mungu lakini mbona akiambiwa yeye ukweli anafura...au anataka yy ndio awe mpenz wa mungu pekee tz..
Back
Top Bottom