Mhere Mwita
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 235
- 1,275
Leo Bank Kuu (BOT) wametoa ripoti ya tathimini ya uchumi kwa mwezi Nov. na kuonesha kwamba katika mwezi huo serikali ilitegemea kutekeleza miradi ya maendeleo kwa mikopo toka nje ilopitishwa kwenye bajeti ya 2016/17 yenye thamani ya 653bn lakn imepata 157bn sawa na utekelezaji wa miradi hiyo kwa asilimia 24%. Hivyo asilimia 76% ya miradi ilotegemea pesa hizo kwenye bajeti inakuwa HEWA