Recent content by kiunzi

  1. kiunzi

    JamiiForums Tanzania Msikubali Tume Huru

    Hivi ni kweli mpaka sasa tena miaka hii Watanzania bado hatuijuwi haki yetu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. kiunzi

    JamiiForums Tanzania Maana ya kuhonga katika ulimwengu wa kifikra

    Anaye hongwa huwa siku zote ni mtumwa asiye jitambuwa na kujielewa wa yule mtoaji. Kupokea kilicho stahili na kilicho cha haki huleta raha ya kweli ya ubinadamu kamili. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. kiunzi

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Tunawafahamu wote wanaotaka kuzua migogoro ndani ya CHADEMA na kutaka kuhama ila hatutawafukuza

    Mbowe ameamuwa kwa dhati kukinusuru chama cha chadema . Sent using Jamii Forums mobile app
  4. kiunzi

    JamiiForums Tanzania Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

    Umeeleweka mkuu uko vizuri sana tuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. kiunzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wengine njaa ukimuomba pesa kidogo tu anakufungulia uzi

    Njaa ni wewe unaye omba. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. kiunzi

    JamiiForums Tanzania El Salvador: Jeshi lavamia Bunge ili kushinikiza mapendekezo yao yapitishwe

    Mbavu sina! Nimecheka mpaka nimekumbwa na kichomi, Haaaaaa!hajajajaja!!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. kiunzi

    JamiiForums Tanzania Wakati Masheikh wa uamsho wakiozea Jela, Mchungaji Mwamposa ambaye ana tuhuma ya kuua watu 20 yuko nje

    Bulldozer Mwamposa hakuwafuata walio kufa wao walimfuata ! Kondoo ni wengi bali wachungaji ni wachache sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. kiunzi

    JamiiForums Tanzania Wananchi tunavyowaza kuhusu suala la Paul Makonda, huenda Rais anawaza zaidi

    Tegemezi ni yule anaye kwenda kuomba asaidiwe kwa mabeberu au ......! Sent using Jamii Forums mobile app
  9. kiunzi

    JamiiForums Tanzania Mke wa marehemu Mengi atoa onyo kali kwa wanaonyemelea mali za marehemu

    Kaacha wosia ,sasa shida IPO wapi ? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. kiunzi

    JamiiForums Tanzania Baada ya Wataleban kutungua dege la Marekani, Dege jingine kubwa la Marekani laripotiwa kuanguka huko Iraq

    Sadam hakuwa mshia. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. kiunzi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tanzania inalipwa mabilioni ya fedha toka nje ambazo zimefanywa siri na serikali hazina rekodi, tumenunulia ndege, na kujenga SGR na Stiegler nk

    Najaribu kujiuliza lakini sipati jibu! hizo fedha nyingi zinazotolewa kwa siri na bila mfumo rasmi wowote was serikali zitalipwa vipi na serikali (tz) zijazo kwa hao wanao zitowa ? Ina maana watoaji wanatapeliwa! Kama wanajenga na kufanya miradi mikubwa ya maendeleo ni vizuri na huo ni...
  12. kiunzi

    JamiiForums Tanzania Pesa ni hazina ya mkuu wa anga, Jihadhari nazo

    Mahakama itende na itoe haki ktk hizi kesi ,kwani kuna wengine walizipata kwa haki na kwa jasho lao na hata kwa urithi. Dhulma huwa haingojei!!! muda wake ukifika huwa haijali nani ni nani na yuko wapi itakufuata tuu at a ukiwa marehemu. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. kiunzi

    JamiiForums Tanzania Pesa ni hazina ya mkuu wa anga, Jihadhari nazo

    Mahakama itende na itoe haki ktk hizi kesi ,kwani kuna wengine walizipata kwa haki na kwa jasho lao na hata kwa urithi. Dhulma huwa haingojei!!! muda wake ukifika huwa haijali nani ni nani na yuko wapi itakufuata tuu at a ukiwa marehemu. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. kiunzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

    Degrees holders! She went to the university not to university, very interesting indeed! Sent using Jamii Forums mobile app
  15. kiunzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

    "Alikuwa na upendo kwani alinitafutia kazi sehemu ....." Duuh! Nazi bado IPO Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom