Mbowe: Tunawafahamu wote wanaotaka kuzua migogoro ndani ya CHADEMA na kutaka kuhama ila hatutawafukuza

Jambo jema wanakwenda peke yao kwa sababu zao binafsi si za wananchi wapenzi na wanachama. Hongera Bashiru kwa mradi wa kukausha maji baharini kwa ndoo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa vile JF ni ya kwanza siku zote na kwa vile mimi ni miongoni mwa watu wachache waliopata list ya majina ya watu hao basi bila shaka NITAYAWEKA HADHARANI baada ya kumalizia mchemsho wangu wa Samaki
MSIGWA YUPO KWA LIST?
 
Mbowe has never been a dummy!

He is Michael Jordan of this shyt!

People actually do not understand this,Mbowe has been playing political game like nobody else,his IQ is way above everybody else in politics!

Watu nadhani wanajisahaulisha tu how prolific this motherfvcker is....aint nobody like him,mpende au mchukie,you cant deny his prowess!
Wewe endelea kusifia IQ feki, wakati chama kinamfia mikononi mwake. People with high political IQ would know how to manage a small chama like chadema. Alifeli form iv, lakini bado unamsifia IQ! Ama kweli wahenga walisema, wajinga ndio waliwao.
 
Mkuu unajua historia ya upinzani nchini?

1995 NCCR was the shit,haiku-last muda wowote

2000 CUF and TLP were the shit,haziku-last muda wowote

2005-Today CDM shits on everybody

Viongozi wa upinzani,kwanza alianza Mrema Lyatonga na NCCR baada ya kuhama CCM....haku-last muda mrefu

Walikuwepo akina Mabere Marando NCCR,hawaku-last muda wowote

Walikuwepo akina Ahmad Rashid,Lipumba na Maalim CUF,wamevurugwa sasa hivi hajasalia yeyote

Alikuepo Mtikila na DP yake,akafariki

Cheyo na chama chake ni kama CcM wale,hakuna lolote

Bro,tangu mwaka 1992 Chadema wamekurupua step by step mpaka wamekuja ku-eclipse everybody else na hawajavurugwa na CCM

Na kumbuka hakuna mwenyekiti wa Chama cha Upinzani Tanzania aliekaa na chama kwa muda mrefu bila CCM kufanikiwa kukivuruga chama kama Mbowe!

Mbowe is way too intelligent for CCM stupid games!

Is way ahead of them,he is playing chess,they are playing checkers!

Acha unaaa!
 
........ MPAKA TONE LA MWISHO LA DAMU ZETU!
ALUTA CONTINUA!
1582361287388.png
1582361301209.png
1582361308138.png
1582361313610.png
 
Kuna vijana wameanaza kufuatilia siasa za vyama mwaka 2015. Kwao historia juu ya mapokeo ya vyama vya siasa kwa wananchi. Wawaulize wakubwa zao waambiwe . Jf ianzishe na jukwaa la U25 ages ili waweze kujadili yanayo wahusu kuliko kuja kwenye jukwaa hili kujadili masuala ambayo yapo mbele zaidi ya upeo wao yatawaumiza ubongo wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi ndio si hasa sasa. Huyo Mbowe alimleta mwenyewe na kumpa nafasi ya Uongozi, Kiufupi kamtengeneza mwenyewe, sasa anapotupia lawama wengine tunabaki kumshangaa.
 
People fail to understand the difference between chess and checker.
Everything you said is spot on.
It will take blood and sweat to see CDM off existence while Mbowe is at the helm.
Mkuu unajua historia ya upinzani nchini?

1995 NCCR was the shit,haiku-last muda wowote

2000 CUF and TLP were the shit,haziku-last muda wowote

2005-Today CDM shits on everybody

Viongozi wa upinzani,kwanza alianza Mrema Lyatonga na NCCR baada ya kuhama CCM....haku-last muda mrefu

Walikuwepo akina Mabere Marando NCCR,hawaku-last muda wowote

Walikuwepo akina Ahmad Rashid,Lipumba na Maalim CUF,wamevurugwa sasa hivi hajasalia yeyote

Alikuepo Mtikila na DP yake,akafariki

Cheyo na chama chake ni kama CcM wale,hakuna lolote

Bro,tangu mwaka 1992 Chadema wamekurupua step by step mpaka wamekuja ku-eclipse everybody else na hawajavurugwa na CCM

Na kumbuka hakuna mwenyekiti wa Chama cha Upinzani Tanzania aliekaa na chama kwa muda mrefu bila CCM kufanikiwa kukivuruga chama kama Mbowe!

Mbowe is way too intelligent for CCM stupid games!

Is way ahead of them,he is playing chess,they are playing checkers!

Acha unaaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom