Recent content by kiu ya haki

  1. K

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya kwa mfanyakazi

    Habari wakuu, Napenda kufahamu kuhusu sheria ya mfanyakazi katika kampuni binafsi ndani ya Tanzania je ni haki wafanyakazi kupewa bima ya afya bila dependant wao kimfano employee amepewa bima ya afya kisha akaambiwa atapata yeye tu mke na mtoto hawatapata. Wafanyakazi wengine wameinclude...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Maswali ya interview NAOT na HESLB

    Ndugu wanajamvi pazeni hili jambo ratiba za usaili wa NAOT na bodi ya mikopo(Heslb) sio rafiki kwa wasailiwa na inakatisha tamaa kushiriki hatimae vijana wengi wanaotafuta ajira hushindwa kuhudhuria nafasi hizo za usaili. Usaili wa written ufanyike Dodoma Kisha practical ufanyike dar es salaam...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya ajira inawanyima haki watanzania kushiriki usaili wa ajira

    Ndugu wanajamvi pazeni hili jambo ratiba za usaili wa NAOT na bodi ya mikopo(Heslb) sio rafiki kwa wasailiwa na inakatisha tamaa kushiriki hatimae vijana wengi wanaotafuta ajira hushindwa kuhudhuria nafasi hizo za usaili. Usaili wa written ufanyike Dodoma Kisha practical ufanyike dar es salaam...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya ajira inawanyima haki wasailiwa kushiriki usaili

    Hawawatendei haki watanzania kwa hili,kwa hiyo kama natoka mkoa wa kigoma nisafiri mpaka Dodoma nifanye written Kisha nisafiri kwenda DSM nikafanye practical k +Makazi na malazi Kisha nirudi kigoma jamani huu ni unyanyasaji kwa watanzania.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya ajira inawanyima haki wasailiwa kushiriki usaili

    Ndugu wanajamvi pazeni hili jambo ratiba za usaili wa NAOT na bodi ya mikopo(Heslb) sio rafiki kwa wasailiwa na inakatisha tamaa kushiriki hatimae vijana wengi wanaotafuta ajira hushindwa kuhudhuria nafasi hizo za usaili. Usaili wa written ufanyike Dodoma Kisha practical ufanyike dar es salaam...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za kiwandani. Nipo Dar

    Nitumie numba yako
  7. K

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Ajira/serikali itupe ufafanuzi kuhusu hili la ukosefu wa ajira katika taasisi za serikali

    Neno ukosefu wa ajira ni hali ya mtu yeyote ambaye anaweza kufanya kazi, lakini hana kazi. Ukosefu wa ajira ni mojawapo ya matatizo ya duniani hivi sasa. Ukosefu wa ajira unaonyeshwa kama asilimia ya jumla ya nguvu kazi inayopatikana ambayo haina ajira, lakini inatafuta kazi kikamilifu na ipo...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mkeka wa TRA lini?

    Watakuwa washaajiri fanya mambo mengine
  9. K

    JamiiForums Tanzania Serikali iwatazame vijana hawa katika ajira

    Natanguliza salamu ya Amani na upendo wangu kwenu wote pia nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Baadhi ya viongozi wamekuwa wakisema vijana waliosoma wachangamkie fursa za kujiajiri kwa kulima ,kufuga kuku,kuuza machungwa na biashara nyinginezo ili waweze kujiajiri na...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi VETA

    Hizo qualifications mbona mchanganyiko hata havieleweki
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Red Cross

    Hata kuita wanaita kweli maana wasije kuwa wanajaliana wao na watoto wao
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kazi zipo ila ajira hakuna

    Hii nimeikuta sehemu. WANAOPIGIA UPATU KUJIAJIRI WAPO TAYARI KUACHIA AJIRA ZAO? Hivi karibuni kumeibuka wimbi la mashirika mbali mbali, taasisis binafsi na hata watu waliopo serikalini kusisitiza kijana kujiajiri. Kuna maswali mengi ya kujiuliza, Je, wanataka vijana waliohitimu shule mwaka huu...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Je, mrejesho wa nafasi za Internship katika Shirika la Viwango Tanzania (TBS) unatoka lini?

    Matekeo ya usaili wenu hayo hapo
Back
Top Bottom