Natafuta kazi za kiwandani. Nipo Dar

Natafuta kazi za kiwandani. Nipo Dar

stan john

Member
Joined
Feb 17, 2022
Posts
86
Reaction score
92
Habari yako,

Nakuja hapa kuomba msaada kwa yeyote yule mwenye kujua ni kiwanda kipi ndani ya Dar kinachopokea kibarua naomba anifahamishe maana natafuta kazi kwenye kiwanda chochote kile kinachopokea kibarua.

Asante sana.
 
Nenda vingunguti pale viwandani hukosi kazi! vitoto vidogo vinaajiriwa, pale kuna viwanda kibao, pepsi, moo, jambo, bakhresaa n.k , Dar kukaa bila kazi ni uvivu wa baadhi ya watu ku kibarua unalipwa per day mpk 8500 wapo! ukienda Mbagala pale kuna viwanda pia!
Komaa dogo

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Nenda vingunguti pale viwandani hukosi kazi!vitoto vidogo vinaajiriwa,pale kuna viwanda kibao,pepsi,moo,jambo,bakhresaa n.k ,Dar kukaa bila kazi ni uvivu wa baadhi ya watu ku kibarua unalipwa per day mpk 8500 wapo!ukienda Mbagala pale kuna viwanda pia!

Nakazia
 
Nahisi Umehitimu mwaka Jana na Una degree ya Ualimu wa Sayansi katika Somo la Kemia na Baiyolojia....

Nafsi yangu imenifunulia haya....Samahani nafahamu ni nje ya mada.
 
Nenda vingunguti pale viwandani hukosi kazi!vitoto vidogo vinaajiriwa,pale kuna viwanda kibao,pepsi,moo,jambo,bakhresaa n.k ,Dar kukaa bila kazi ni uvivu wa baadhi ya watu ku kibarua unalipwa per day mpk 8500 wapo!ukienda Mbagala pale kuna viwanda pia!
Komaa dogo

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Connection is what matters..
 
Panda gari mpaka mbagala rangi tatu halafu panda gari za kwenda mkuranga shuka kona ya mwana mbaya kuna kiwanda kama neel salt na viwanda vya wachina vya gypsum maelezo zaidi utapata ukifika kwa vibarua wenzako
 
Nenda vingunguti pale viwandani hukosi kazi!vitoto vidogo vinaajiriwa,pale kuna viwanda kibao,pepsi,moo,jambo,bakhresaa n.k ,Dar kukaa bila kazi ni uvivu wa baadhi ya watu ku kibarua unalipwa per day mpk 8500 wapo!ukienda Mbagala pale kuna viwanda pia!
Komaa dogo

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
vitu gani vinahitajika kwenda navyoo ,
 
ndio uzuri wa jf, mada analeta mwingine kwa shida zake mwenyewe lakini tunafaidika wote .baada ya kuona hakuna dalili yoyote ya ajira leo nimeamka na hili wazo, sema mtoa mada nenda kwenye search icon ya jf andika "kazi za viwandani" kuna mada nyingi sana za aina hii zilishajadiliwa huko nyuma kuna mengi zaidi utayafahamu kuhusu hizi kazi.
 
Habari yako,

Nakuja hapa kuomba msaada kwa yeyote yule mwenye kujua ni kiwanda kipi ndani ya Dar kinachopokea kibarua naomba anifahamishe maana natafuta kazi kwenye kiwanda chochote kile kinachopokea kibarua.

Asante sana.
Nitumie numba yako
 
Back
Top Bottom