Sekretarieti ya ajira inawanyima haki wasailiwa kushiriki usaili

kiu ya haki

Senior Member
Jul 17, 2015
103
55
Ndugu wanajamvi pazeni hili jambo ratiba za usaili wa NAOT na bodi ya mikopo(Heslb) sio rafiki kwa wasailiwa na inakatisha tamaa kushiriki hatimae vijana wengi wanaotafuta ajira hushindwa kuhudhuria nafasi hizo za usaili.

Usaili wa written ufanyike Dodoma Kisha practical ufanyike dar es salaam na oral ufanyike Dar es salaam hili limekaaje?

Kwanini Witten na practical zisifanyike dar es salaam na oral ikafanyika Dodoma,au kwanini vyote visifanyike sehemu Moja kama Dodoma tu au Dar salaam peke yake?Ili kuwapunguzia wasailiwa kurupishani za kusafiri huku na kule pia kuwapunguzia gharama .

Napaza sauti hii naomba sekretarieti ya ajira wafanye marekebisho ya ratiba za huu usaili .
 
Hao wanaopanga hizo ratiba hawajui kuwa watu wamepigika hela hakuna, unakopa nauli malazi na chakula bado wasailiwa wanazungushwa kuliko mbio za mwenge.

Aliyetulaani tungejua kaburi lake tukaombe msamaha
 
Daah pole sana, lalamiko langu ni kuhusu vtambulisho, mwez ulipita tuliitwa usail WA JKCI pale Duce bmafs nlitoka kahama kwenda nkasahau ktambulisho chng Cha mpiga kura hio ilinigarim na sikuruhusiwa kufanya written, sikua na jinsi bykeshoyake nkaanza safar kurd zng home, szani kama ntashobokea usail Tena WA utumishi
 
Pole sana mkuu, I can feel your pain
 
Daah pole sana, lalamiko langu ni kuhusu vtambulisho, mwez ulipita tuliitwa usail WA JKCI pale Duce bmafs nlitoka kahama kwenda nkasahau ktambulisho chng Cha mpiga kura hio ilinigarim na sikuruhusiwa kufanya written, sikua na jinsi bykeshoyake nkaanza safar kurd zng home, szani kama ntashobokea usail Tena WA utumishi
Pole sana mkuu, kusahau silaha ni mojawapo ya sababu ya kukufanya usifikie malengo yako.

Huwezi kusema unaenda vitani halafu umesahau silaha huku ukitarajia ukashinde
 
Daah pole sana, lalamiko langu ni kuhusu vtambulisho, mwez ulipita tuliitwa usail WA JKCI pale Duce bmafs nlitoka kahama kwenda nkasahau ktambulisho chng Cha mpiga kura hio ilinigarim na sikuruhusiwa kufanya written, sikua na jinsi bykeshoyake nkaanza safar kurd zng home, szani kama ntashobokea usail Tena WA utumishi
Ungetafuta barua ya serikali za mtaa kiongozi
 
Daah pole sana, lalamiko langu ni kuhusu vtambulisho, mwez ulipita tuliitwa usail WA JKCI pale Duce bmafs nlitoka kahama kwenda nkasahau ktambulisho chng Cha mpiga kura hio ilinigarim na sikuruhusiwa kufanya written, sikua na jinsi bykeshoyake nkaanza safar kurd zng home, szani kama ntashobokea usail Tena WA utumishi
Pole san
Inabidi kama unaend mkoan
Ukague begi atleast two days hakiki kila kitu kipo
 
Daah pole sana, lalamiko langu ni kuhusu vtambulisho, mwez ulipita tuliitwa usail WA JKCI pale Duce bmafs nlitoka kahama kwenda nkasahau ktambulisho chng Cha mpiga kura hio ilinigarim na sikuruhusiwa kufanya written, sikua na jinsi bykeshoyake nkaanza safar kurd zng home, szani kama ntashobokea usail Tena WA utumishi
Sio suluhu kususia,. Maandalizi ya mapema ndo suluhu, hakiki vyeti na vitambilisho vyote kwa umakini, kabla ya safari. Kutofuata maelekezo ni kujitoa katika ushindani,.
 
Wadau tafadhali Kama Kuna mtu kafanya rewritten interview ya NAOT, atupatie mwaswali humu tusaidiane. Hali sio njema Sana. Natasi moja applicants 1500?
 
Back
Top Bottom