Recent content by kitwiz

  1. kitwiz

    Ushauri kuhusu maumivu kipindi na baada ya hedhi

    dawa yake ni ndogo tu mvona ajitahidi awe na ujauzito ili asiingie kabisa kwenye siku zake
  2. kitwiz

    Sherehe za kidini mgeni rasmi kiongozi wa nchi isiyo na dini!

    wee acha kuzunguka na kuzuga beba kijiko,limao,pilipili na ndizi jisogeze kama kuna mabaki utapewa acha mada zenye wivu nyuma ya pazia
  3. kitwiz

    Hii ya Wakuu wa Wilaya Kupewa Ilani ya CCM imekaaje?

    ukifuatilia sana mambo ya nchi hii utakuwa chizi so tuhesabu siku tu "ikawa asubuhi ikawa jioni......." kama hadi soldiers wameteuliwa cjui nao ni kada?
  4. kitwiz

    Jeshi la polisi wachukulieni hatua Clouds FM

    hujakosea jina linasadifu kweli ww ni "WAKUACHA" kama jina lako
  5. kitwiz

    Uhitaji mkubwa wa walimu kwa mwezi 6 na 7 2016

    hiyo training ni lazima mtu aje dar hata kama anaishi kigoma? na kwa uzoefu wenu inachukua muda gn toka kujisajili mpaka kupata ajira?
  6. kitwiz

    Sasa nimeamini ajira za walimu mwaka huu ni kitendawili

    kwa tz hii nahic mpk watuone barabarani au tuongee na waandishi wa habari vingnevyo hatutoboi me nlimsikia simbachawene kati ya mwezi wa 3&4 kwenye clouds 360 akadai wameshaandaa wanasubir tu bajeti ipitishwe sasa cjui tuna bajeti tofauti na nliyosikia juzi bungeni...?
  7. kitwiz

    Ukaguzi wa wafanyakazi feki utafika hadi private sector???

    tena wakienda huko inabidi wavae gloves za mwendo kasi maana majipu yako huko ni hatareeeeee
Back
Top Bottom