Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,622
- 4,138
"Hili suala la kukagua vyeti hili katika huu utawala mpya linanikosesha amani sana kwa kweli.
Kama unavyojua hapa mjini tunaishi kwa mipango.
Baada ya kudisco chuo mwaka juzi,
Fasta nilifanya forgery mtaani ya cheti cha chuo chenye upper second,
na sasa napiga job huu mwaka wa pili huku private institution.
Vipi huu ukaguzi utafika hadi huku private au utaishia hukohuko?"
NIMEMSIKIA MTU FLANI LEO USIKU AKIONGEA NA SIMU NJIANI JUU YA HILO SUALA.
NAMI
NAULIZA TU (ila hii hainuhusu Kabisa)
HII IPOJE WAKUU???