Koboeni mahindi muondoe sumu

Koboeni mahindi muondoe sumu

Wanasansi wanatuchanganya sasa, walisema dona ni bora kwa afya tukaacha kukoboa, leo wanasema tuwe nakoboa which is which
hivi tanzania tuna wanasayansi?
 
Mi nakula dona ya mahindi niliyolima mwenyewe na nililima bila kuweka dawa wala sitii dawa kuyahifadhi
You may not be safe. Sumu inayoongelewa hapa hautokani na dawa za kuhifadhia wala za shambani. Ni aflatoxins. Hii inatokana na fungal growth kwenye mahindi yako. Inaweza tokea shambani, unapoanika, unapohifadhi mahindi/unga etc
 
Huku tunashauriwa tule dona huku tunatakiwa tule sembe mi ata suelewi
 
Yani watu watowe virutubisho asilia kwenye mahindi halafu wao waje wapachike maradhi yao kama walivyopandikiza ukimwi?

I don't buy this story.

Mkuu Matola Mbwa wangu wawili German shepherd walikufa mwezi uliopita daktari aliyekuwa akiwatibu aliniambia sababu ya kufa ni sumu iliyoko kwenye mahindi ambayo madhara yake kwa binadamu yanachukua muda mrefu.Mahindi yana sumu ni kweli kabisa kabla ya kusaga mahindi ni vyema ukayaosha na kuanika ili kuondoa athari zake kiafya.
 
Kuna rafiki yangu bata wake zaidi ya mia 200 walikufa kwa kula pumba zenye sumu. Suluhisho ni hilo kuosha mahindi kwanza kwa walaji wa dona.
 
Back
Top Bottom