Jeshi la polisi wachukulieni hatua Clouds FM

Kwa taarifa yako nimoja ya kampeni mahsusi za jeshi la polisi kwa vyombo vya habari kuhusu mkakati wake wa kuliboresha..rejea ziara ya Mangu IPP & Clouds ndani ya siku moja..uwe una uliza bwegge wewe!
Wamechemka.........sana kama wamefikia hatua hiyo basi Waite Taasisi ya polisi.....
 
Habari wana jf..

Wakati nikilisikiliza Clouds ...Leo nilisikia wakilichana jeshi la polisi.....Kwa kweli nilisikitishwa sana kama jeshi la polisi litakaa kimya dhidi ya huu upuuzi ambao unafanywa na clouds fm.

Nitakuwa wa kwanza kulishangaa hivi nini maana ya jeshi.....Ni lazima wawafundishe hao clouds fm utofauti uliopo kati ya jeshi na taasisi zingine za mkonge...Haiwezekani haiwezekani haiwezekani... Watieni adabu hao.
Kwa hiyo polisi wafanyeje?! Washauri! Au wakaikusanye studio yote ya clouds kama walivyokusanya ile mitambo yote ya UKAWA pale millenium towers na kuwakamata IT engineers wote.?! Waweke wazi polisi umeawaacha njia panda.
 
Wawaambie waache mambo ya kipimbi.....
 
Kwa hiyo polisi wafanyeje?! Washauri! Au wakaikusanye studio yote ya clouds kama walivyokusanya ile mitambo yote ya UKAWA pale millenium towers na kuwakamata IT engineers wote.?! Waweke wazi polisi umeawaacha njia panda.
[emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Habari wana jf..

Wakati nikilisikiliza Clouds ...Leo nilisikia wakilichana jeshi la polisi.....Kwa kweli nilisikitishwa sana kama jeshi la polisi litakaa kimya dhidi ya huu upuuzi ambao unafanywa na clouds fm.

Nitakuwa wa kwanza kulishangaa hivi nini maana ya jeshi.....Ni lazima wawafundishe hao clouds fm utofauti uliopo kati ya jeshi na taasisi zingine za mkonge...Haiwezekani haiwezekani haiwezekani... Watieni adabu hao.
Wamefichana?!
 
...hiyo ni kampeni ambayo polisi wenyewe ndio wahusika wakuu,na wamelipa
 
hujakosea jina linasadifu kweli ww ni "WAKUACHA" kama jina lako
 
Masikini ma-IT wa ukawa walikamatwa wote pale mlimani city
 
Back
Top Bottom