Recent content by Kitwitwi_

  1. Kitwitwi_

    Polepole anafaa kwa Ukatibu Mkuu CCM

    I go for the kataa wahuni ni mwamba sana wa siasa za moto
  2. Kitwitwi_

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Inafanya kazi umeme unapita vzurii
  3. Kitwitwi_

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Niliagiza Soundbar mtandaonifrom UK samsung brand, ni touch buttons even power button mzigo hauwaki, haina remote! Kwa mwenye experience na mziki wa hivi shida inaweza kuwa nini au mpaka remote ipatikane!
  4. Kitwitwi_

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Ni Onkyo NR7 iko na pair speaker za 120w impedance 6, nilikuwa na home theater 5.1 sasa nataka niiunganishe na yenyewe.
  5. Kitwitwi_

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Kuna haja ya kutumia AV receiver na Amplifier au AV inatosha tu nimekamilisha vifaa nataka kufanya setup ya sound!
  6. Kitwitwi_

    What is Psychometric Test na zinafanyika wapi hapa TZ? Radar may be?

    Hii issue imenitokea na mimi asee juzi tu mwezi huuwa kumi nimeshindwa kuelewa kwenye hela asee wameenda vibaya kiukweli wanaweza kukuchota vzurii. We are writing to inform you that after reviewing your resumes, you have been shortlisted for the above reference in our organization. This...
  7. Kitwitwi_

    Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu yafungua dirisha la maombi kwa siku 40, yatoa muongozo

    Asante sana Ila toka niwatext hawajareply kabisa wala kusoma txt.
  8. Kitwitwi_

    Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu yafungua dirisha la maombi kwa siku 40, yatoa muongozo

    Habari za mida wakuu. Nina changamoto katika kulogin kuuply for loan. Kila nikiweka namba ya shule(form 4 index number) naambiwa shule haipo; Je kuna aliokutana na tatizo hili na je ninaanzia wapi kulitatua? Asanteni.
  9. Kitwitwi_

    Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

    naona huu uandishi katika report ya upelelezi kama imemkazia sana Joyce ukiingia deep inajipambanua wazi kuwa ilitaka kumvua nguo mtu flaani tu!
  10. Kitwitwi_

    Tatizo la kupoteza uwezo wa kunusa (Kutosikia harufu): Fahamu chanzo na namna ya kutibu tatizo hili

    Hii imenitokea pia nilijisikia dalili za homa siku iliofata nilipima vitu vitatu ikiwa ni pamoja na maralia na uti vyote vikawa neg nikapewa dozi ya Alu ikihisiwa ni maralia iko kwene incubation stage: lakin baada ya kupiga Alu nimepoteza harufu na ladha siku ya saba leo. Sent from my iPhone...
  11. Kitwitwi_

    Nenda Lugola, Bodaboda watakukumbuka

    Tujaribu kulitafakari hili kwa kina naona kama kuna mchele mchele hapa. Sent from my iPhone using JamiiForums
  12. Kitwitwi_

    Kuna mtu kapigiwa simu ya Internship kutoka MDH

    Wanajamvi wale walioomba MDH inaulizwa huku kuna walioitwa kwene interview
  13. Kitwitwi_

    Kwani wazungu wana nini ambacho waafrika hatuna: What is the missing link?

    Shida sio mfumo wala ukoloni hapana. shida ni kuwa tulikuwa nyuma duni sana, katika technologia duni tukawa upgraded katika mfumo mzuri sana uliotuzidi uwezo bila kupitia steps katika development hivyo kutufanya tushindwe kujua tena tutaendelea vipi wakati mambo yote tunayo na mbaya zaidi ni...
  14. Kitwitwi_

    Je, NGOs Tanzania zimeanza kukosa wafadhili (Donors)

    ohoooo nimekupata mkuu, Nazani tatizo ni mfumo wao wa ulipaji. sasa kama inajirudia mara kwa mara kwanini wasibadilishe huoni kwamba kuna uzembe fulani?
Back
Top Bottom