Mama_Aheshimiwe
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,746
- 4,173
Si kweli
Nilituma maombi kipindi fulani nikaitwa kwenye usaili
Hatimaye nikaitwa kazini na sikuwa namjua yoyote na ndio mara ya kwanza kuwajua kipindi hicho ILA nikavunja mkataba baada ya miezi 2
Hivyo,usiwe mwongo kama hukupata kuna mengi ndani yake binafsi nawakubali/nawaamini

MDH hawa wana majina yao wanatangaza tuu kwa ajili ya kuonyesha wafadhili kuna fair and equal chance...