Recent content by kitwangeni

  1. K

    JamiiForums Tanzania Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    Kitu cha kwanza, pata iyo proof. Zinapatika chuoni ulikomaliza au unakosoma....pia kuna some college hasa USA wao kama O level English ulipata c,B, Or A unapata tu admission
  2. K

    JamiiForums Tanzania Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    Wengi wetu wanatafuta full scholarship, let say kwenye chuo fulani. Wakati vyuo vingi hutoa partial scholarship zen unaeza omba sehem iliyobaki kwenye agency/ taasisi/ project zingine...na ukasoma vizuri.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    Kuna vyuo baadhi wao hawahitaji iyo IELTS... wanahitaji proof tu kuwa degree uliyosoma, masomo yake yalikua yanfundishwa kwa kingereza basi....hii inakua njia ya kuanza kua apply ufadhiri coz utakua umepata offer ya masoma kwa chuo,...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Tatizo la kujieleza kwenye usaili wa kazi

    Kabla ya kwenda kwa interview, make sure umefanya kauchunguzi kwanza..k Salary scale ya iyo company.... Zen linanganisha elimu na post unavoomba. Unapata jibu
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wauzaji wa TENTS

    Habari wanajamvi. Natarajia kufungua company itayojihusisha na events kama wedding, matamasha N.k... Naomba kujua gharama na upatikanaji wa Tents, hasa zile za kufanyia open events. Natanguliza shukrani.
  6. K

    JamiiForums Tanzania PPF Ajira

    Kweli kabisa,
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu katoa mimba bila kunijulisha karibu afe, huku pia nimepewa talaka

    Nenda kamwone...akishapona achananae. Unaeza baki naye zen akaja kua habebi mimba ikiwa shida tena
  8. K

    JamiiForums Tanzania Jeshi latanda Mjini Songea

    Nimejaribu kuwauliza walioko songea. Watu kama watano wamenipa visa/ sababu tofauti. Kila mtu anasema alichosikia.....tukumbuke info za kijeshi huwa zinatoka kwa utaratibu na sababu maalumu. Sio kama yule kamanda wetu wa mkoa maalum anavofanyaga.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Jeshi latanda Mjini Songea

    Hayo mazoezi hadi kupiga watu, ni kweli au story tu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Ndoano hutumiwa kuwekea chambo na kupata samaki
Back
Top Bottom