Recent content by kitungusha

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kuvimbisha nyonyo na kuyanyanyua ni urembo au mitego?

    ushaur wa bure kwa wanaogopa kunyonyesha kwa madai ya kuogopa kuharibu maziwa kuna kansa jaman!for all women! Unavyonyonyesha mara kwa mara unapunguza uwezekano wa kupata kanza ya mazima! Take in considaration for your benefit.
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini kuwa shoga? Kuna faida gani kuwa hivi?

    hebu 2fafanulie vizur! Kivip kanisa katoliki linaharibu watoto? Cjakupata what do you mean? FaizaFoxy
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kuna hitilafu Gridi ya Taifa? Umeme wakatika ghafla nchi nzima...

    umerud kwenu vp?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kuna hitilafu Gridi ya Taifa? Umeme wakatika ghafla nchi nzima...

    nipo lushoto haupo!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Huduma ya M- -Pesa imekufa

    kwa kwel wameboa wa2 weng inabid watek action! La cvyo tutachepuka!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Results Slips form iv 2013 Zitatumwa Lini Mashuleni Kutoka Necta?

    nauliza swal kwa anaejua kama hujui ucjibu ukae kimya ctak majbu ya kejel plz! Application za vyuo vya certificate ni ln? Kwa nursing and tearching! Kwa waliomaliza kidatoa cha nne! I need ur help.
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kabla hujaachana na mpenzi wako, soma yaliyonikuta

    we are learnt something eventhough it's not a true story au siyo mwaride! Ngoja me nichunge mzigo wangu ncje porwa mie hehei!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Vijana Njooni CCM, ndoto zenu zitatimia

    me napita namwachia@mwaride
  9. K

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya private na migpa mikubwa kwa nini?

    acha majungu we kiumbe mbona elimu yako haikusaidii....! Kama machaguo yangu nimechagua 2 private utasema nimepata division three mbaya kwa kuwa nipo private! Think b4 u done that's why unapata GPA ndogo unakurupuka mpigamsul!
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Njoo Ghetto"... Imezua balaa

    kwa mwanaume tena anaeish getho peke yake unaenda mdada tena peke yako...! Kubakwa is very simple pole but chukua fundisho!
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akiwa navyo kati ya hivi, lazima nitoke nduki

    mtoa mada hujielew kwa kwel make wakwako mwenyewe umwekee sifa unazozitaka na uzuie error zictokee!
  12. K

    JamiiForums Tanzania VYUO VIKUU 17 BORA TANZANIA- By 2013 University Web Ranking

    hilo ndio la muhimu kwan vingine ni mbwembwe 2 kwan huwez kusema chuo fulan ni bora kuliko kingine huku mkikutana kazini na chuo chako ulichoona bora unakuwa hana ki2!
  13. K

    JamiiForums Tanzania VYUO VIKUU 17 BORA TANZANIA- By 2013 University Web Ranking

    tupe vigezo vya hiyo arrangement yako!
  14. K

    JamiiForums Tanzania Waalimu tarajali wa kike mnavyovyaa watoto wetu watafaulu kweli?

    kiukwel walimu wa dot com ckuhiz maadil ni zero inabida serekal ingilie kat kwan sa hv heshima hakuna tena kama zaman ilivyokuwa! .hasa kwa wale wanaotoka form six moja kwa moja kwenda university bora wanaopitia diploma kule naona kuna maadil ya kiuwalimu! Chuo kikuu maadil ya ualimu ni sifur...
  15. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kutendwa kumenifanya nisijielewe

    achana nae 2 dada angu mwisho ataweza kukuletea magonjwa uje kujutia useme bora usingemrudia ndio hivyo ninge haitangulii!achanae atakupa 2 pressure my dia pole sana!
Back
Top Bottom