Recent content by Kitunga Kitunga

  1. K

    Joseph Romani Selasini afanya kweli Rombo

    Jambo jema sana hili, ila ingependeza zaidi kama ungetujulisha ujenzi unaoendelea katika kata zote, na kama mahitaji yao yanafanana, au ametoa watajua watazifanyia nini "when the need arise"
  2. K

    Uchambuzi wa Sera mpya ya CHADEMA toleo la 2018

    Sera mbadala "Kuendeleza" Bima shirikishi ya afya
  3. K

    Zitto Kabwe: Ni muda muafaka sasa Baraza la Mawaziri kuitumia ibara ya 37(2) ya Katiba

    Hapa mi naona kunahaja ya kutumia hekima na busara zaidi, kuliko kulibeba hili swala kiushabiki au kisiasa. Kwanza nadhani ZZK angeweka bayana ameona nini au anawasiwasi gani mpaka kusema hili. Nasema hivi kwasababu sitaki kuamini kwamba ZZK ameandika haya kwasababu mkuu alijiita "kichaa" Kwa...
  4. K

    Hivi hizi hasara watanzania mnazifurahia!!!!

    Mimi siwalaumu upande wa pili ambao tunawaita wapinzani wetu, nawalaumu wenzangu tulio kwenye jumba moja tunao jiita wapinzani kukubali kununuliwa kama ni kweli tunanunuliwa. Na pia sioni kama ni kweli tawala zilizopita zilikua safi kiasi chakuzisifia kama mtoa uzi alivyowasifia, kwasababu...
  5. K

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Lecturer wangu mmoja aliwahi kusisitiza sana kutotumia majina yetu ktk biashara kutokana na adhari kama hizi, ukianzisha biashara/ kampuni yako kwa kutumia jina la familia inahasara zaidi kuliko faida.
  6. K

    Airtel will be another tragic failure of President Magufuli

    When u say we always lose when we go on negotiating table, what do u mean? Coz by refusing these giants from exporting their by products 'makinikia' we coursed em big losses, for which they could've taken us to court. instead they came on the negotiating table and agreed to some of what we had...
  7. K

    Botswana waichana live USA

    Baada ya matusi ya Trump kwa Waafrika, Botswana wameonyesha kusikitishwa kwao na kuonyesha msimamo wao, namshauri mkuu wa kaya afanye vivyo hivyo
  8. K

    Kubenea: Lowassa ameonesha njia

    Unapoint mtoa mada, its good to look this in a +ve way/ side. Shida ni kwamba tofauti na wengi wetu katika siasa tukishaitwa upinzani -ve kwa kila jambo. Na pia mamvi angetumia busara zake kujua uongozi wa chama chake unauelewa wa kiwango gani ili a "forecast " kitakachojiri kabla ya kwenda...
  9. K

    Tundu Lissu: Kitendo cha Lowassa kwenda Ikulu si cha kuhalalishwa au kunyamaziwa kwa hoja nyepesi nyepesi

    Nyufa alizowahi kuzisema Mwalimu kwamba zipo kwenye taifa letu naona kama zinajitokeza kwa kasi kubwa sana sasa CDM, nadhani ni wakati muafaka wajaribu kuachana na matamko na majibizano badala yake wakae wajitadhmini na watafute ufumbuzi wa hizi nyufa. Alichokisema TL kwamba huu ni mtaji mkubwa...
  10. K

    TRA waangalie pia kanisa Katoliki na mengine ambayo ni tajiri sana baada ya Kakobe

    Mtoa mada unaweza ukawa una point, ila kuna kitu naona kama hujaelewa, TRA hawachunguzi kanisa analoliongoza Kakobe, bali wanamchunguza yeye as an individual, sasa kumlinganisha Mtu na taasisi tu kwasababu yeye ni kiongozi wa taasisi tutakua tunakosea. Shekhe Ponda alipokua akichunguzwa na...
  11. K

    Tanzania ya Viwanda bila mapinduzi ya Kilimo,nani kamdanganya Magufuli?!

    Nivizuri kutumia uhuru wetu wa kutoa mawazo na kuikosoa serikali yetu, ila nivizuri zaidi kama ukosoaji wetu tutakua tunaangalia mambo kwa undani kidogo kabla ya kupinga au kuunga mkono. Nasema hivi kwasababu mtoa hoja umetumia mfano wa UK ambao kwa maelezo yako wao walianza kwa kuandaa mitaji...
  12. K

    Naunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika!

    Waandishi wa aina hii mkowachache sana bro, na mbaya zaidi waelewa wa uandishi huu ndio kabisaaa, nadhani hata kwenye uchangiaji wetu unaweza kuona... I LOVE THIS COUNTRY
  13. K

    J.Muro anatumia chadema kujenga jina

    I see it the same way, japo sitamuita Muro, smart uchwara. CDM waonyeshe ukomavu wao kwakuli handle hili the smart way...
  14. K

    Ufafanuzi kuhusu faini za TANROADS,SUMATRA na POLISI kwa mwendokasi

    Hii imekaa vizuri sana, I hope jamaa zetu wa magwanda meupe wameipata nao ili kuepusha usumbufu barabarani.
Back
Top Bottom